samahani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
  2. The ice breaker

    Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

    Bonjour Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
  3. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  4. Jasor

    MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
  5. GENTAMYCINE

    Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

    Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
  6. DR HAYA LAND

    Inakuaje mwanamke unamtogoza anakukataa ila akijua una mwanamke mwingine mzuri anarudi kukuomba samahani?

    Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye. Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU...
  7. Dra Maxie

    Kwanini Supplemetary na incomplete hazifanyiki kwa pamoja kwenye Vyuo vya Afya hasa ngazi ya Diploma?

    Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why? Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
  8. Mtu Alie Nyikani

    Naomba ushauri kuhusu kozi nzuri ya kusoma

    Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu? Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C" Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo...
  9. Unasemeje

    Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  10. GENTAMYCINE

    Samahani, hii Ongea ya Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco ni Kawaida au Anabwia Poda?

    Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya. Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
  11. R

    Naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameitwa kazini

    Wadau samahani naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameshaitwa kazini au kama wapo basi naomba mawasilia🙏
  12. Jeska Isaga

    Naomba kufahamishwa kazi ya Katibu Msaidizi wa Bunge Sosholojia

    Habari samahani naomba mnisaidie kujua zaidi kuhusu kazi ya katibu msaidizi wa Bunge sosholojia.
  13. Official Mussa

    Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
  14. GENTAMYCINE

    Kupeleka chakula kwa mwenzako wakati wewe una njaa ni wema au unafiki?

    Hivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Sasa nami GENTAMYCINE nauliza je, kutoa Msaada wa Chakula...
  15. Suley2019

    Zitto Kabwe: Samahani Rais Mwinyi lakini kwenye hili umekosea

    Na Zitto Kabwe MAONI: Suala moja lililoibuliwa katika mikutano ya hadhara ya chama cha ACT Wazalendo inayoendelea katika visiwa vya Unguja na Pemba ni uendeshaji (ground handling) wa ‘Terminal 3’ katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar. Katika mkutano uliofanyika...
  16. W

    Anayefahamu mzigo huu unaishia wapi na matumizi yake ni nini?

    Mabibi na mabwana, nazungumzia mzigo huu hapa! Pia naomba nijue kama huyu mwenye mzigo anaona au kujua anakoelekea. Ahsanteni.
  17. Zanzibar2014

    Samahani sana

    Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo siyo zangu. Jamani siyo kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema. Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha. Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. 🙏🙏
  18. L

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria === NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022 Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji...
  19. P Didy Wa Tanzania

    Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

    Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei. ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu wengine. na japo kosa haukulifanya wewe walifanya watu wengine ila ungetudanganya basi hata kwa neno...
  20. T

    Msaada: Nawezaje kujua kama mimba haijatoka yote au Hospitali gani naweza kusafishwa?

    Habari, Naomba kuuliza mimba iliyotoka na nimebleed siku 6 mfululizo, je naweza nikawa nina mimba tena? Mimba iliharibika week iliyopita.
Back
Top Bottom