chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,009
- 20,683
CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika Rais Samia ni kiongozi bora anayekubalika na makundi yote ya kisiasa. Ni suala la finishing tu 2025.
Kauli hii inawaponda wale waliokuwa wanasema maridhiano hayana faida na hayana mafanikio.