Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

50cent

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
270
134
Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama za Kila njia ya usafiri(meli na ndege)@ kg asante I.

Taja hapa jina la kampuni nitawatafuta mwenyewe
 
ATL cargo,

ATL cargo, mzigo una uzito gani, una agent?
 
Back
Top Bottom