tabora

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Oya nimefuta Kauli, Nimekuja Bliss Bar & Grill Tabora, kha, Hadi nyama Foil zipo kama Sinza tu! Nikipotea Me dereva wa Halmashauri jamani!

    Mtajuana wenyewe, ila hapa siondoki
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

    Huu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili? Hapa sio pa kulala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni

    Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu. Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Kamishna wa ardhi kanda ya Magharibi (Tabora) inachelewesha Hati

    Kuna migogoro na kampuni binafsi za upimaji hali inayopelekea majalada kurundikana ofisini bila sababu. Ofisi ya Msajili haitoi hati mpaka wale wadada (maafisa) wapewe kitu kidogo. Naibu Waziri tusaidie hili
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi kidijiti Tabora yahitimishwa kwa tabasamu, hati 389 zatolewa

    TABORA: Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi na kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi. Akizungumza...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Tabora yatatua mgogoro wa ardhi iliyomilikishwa toka miaka ya 1969

    TABORA Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi Senyange, kuhusu maeneo ambayo familia hizo zimekuwa na nyaraka za umiliki tangu miaka ya 1982 na 1989...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi kidijiti yaleta neema Tabora: Hati zaidi ya 200 zatolewa tabora mjini na Nzega

    TABORA Wananchi wa Mkoa wa Tabora wameendelea kunufaika na huduma zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, ambapo jumla ya Hati Miliki za Ardhi zaidi ya 200 zimetolewa kwa wananchi wa Tabora Mjini na Wilaya ya Nzega, hatua inayolenga kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi na kuwawezesha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi

    Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi, ambapo tunafanya kazi hadi nyakati za usiku na hata Jumapili, lakini hakuna malipo ya muda wa ziada (overtime). Tunaelekezwa kutembelea maeneo ya kazi (sites) katika wilaya nzima bila kupewa usafiri wala malazi...
  10. loupa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki Tabora

    Wakuu habari ya kazi viongozi Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora" Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie wapi yani samaki wanapatikana wapi! Nikijua wanakopatikana na nikajua gharama za kuzipata ndo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TRC waendelea na zoezi la kufukua makaburi Uvinza kwa ajili ya ujenzi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma

    Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma linaloendelea kufanyika wilaya ya...
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Bifu la Tabora Boys na Mirambo lisivyofutika kwenye historia

    Ukilitaja jina Tabora Boys, kwa mtu aliyewahi kusoma Tanzania ya zamani, huwezi kuwa umetaja shule kama shule nyingine, umetaja historia, umetaja nidhamu, umetaja viongozi, umetaja akili za darasani, michezo, gwaride na zile hadithi ambazo kila kizazi cha wanafunzi huwa nacho, huku baadhi...
  13. Kado MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora tuna kufa kwa ukosefu wa maji safi na mamlaka zipo kimya tu

    Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji. Athari kwa wakazi ni pamoja na: Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

    Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10. Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nitakwenda Tabora kumtetea Sophia, kumtongoza Mkuu wa Mkoa siyo Jinai

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika: "Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa Mkoa." Ikumbukwe kuwa Septemba 7, 2026, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha wakati...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wanne wafariki katika ajali ya basi Tabora

    Watu wanne, wakiwemo Watoto wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Miza Express lililokuwa likitoka Mpanda kuelekea Bariadi kupata ajali katika eneo la Kijiji cha Ngukumo, Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 9 usiku, baada ya basi hilo kuacha njia na...
  19. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Natoka zangu Tabora Urambo, nikiwa Sina nauli ya kutosha kufika home Dar

    Maisha ni maudhi tu Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo yanapopatikana magari Picha linaanza magari yanatokea kigoma na noma zaidi yanakuwa yamejaa , kumbuka...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tabora tunataka RC Muislam sasa

    Wana Tabora tuletewe RC Muislam, mshika dini kama Abbas Kandoro safi kabisa ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Back
Top Bottom