Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye kampeni chama kilitumia milioni 400
Tumetumia kama shilingi milioni 400 hivi".
"Tulilazimika kutumia...
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema badala ya kuendelea kulalamika ni bora tuangalie mbele na kujipanga zaidi
Soma Pia:
Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na...
Kwasababu ni wazi,
kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao.
Je,
tutegemee wimbi...
Asiee🤔
Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣
Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..
Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka...
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kwa sauti moja, imepitisha azimio la kumvua madaraka na kumsimamisha mara moja aliyekuwa Katibu Mkuu na mgombea wao wa Urais mwaka 2025, Salum Mwalimu, kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha.
Makosa mengine yaliyosababisha...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ametangaza kujiondoa kwa muda katika majukumu yake ya ofisi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizowasilishwa dhidi yake mbele ya Kamati Kuu ya chama hicho.
Soma pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na...
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu.
Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna...
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza Mei 7, 2026 amesema kuwa Msimamo wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) hakitaki masuala ya Katiba Mpya na Utekaji yaendelee kuwa ajenda za kudumu za kisiasa nchini Tanzania.
"Pengine huo ndio mtihani ambao tumekuwa tukiupitia vyama vya...
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza leo amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapaswa kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu sababu zinazochangia vitendo hivyo vya utekaji ikiwa ni pamoja na sababu za kisiasa.
Alibainisha kuwa hadi sasa, sababu zilizotajwa ni mapenzi, biashara, na...
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa na matatizo
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema chama hicho kinna madeni takribani ya Milioni 100 yaliyotokana na kampeni za uchaguzi mkuu 2025.
"Kuna mtu mpaka leo anatudaidai...
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalim amefunga ndoa na kada wa chama hicho Moza Ally. Taarifa kutoka chanzo kinachoaminika kimetueleza kuwa Salum na Moza walifunga ndoa Ijumaa ya Februari 13, 2026 japokuwa picha zimeachiwa leo mtandaoni.
Kupitia ukurasa wake wa...
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa licha ya pikipiki za biashara maarufu kama bodaboda kuwa mkombozi wa ajira kwa vijana wengi nchini, ipo hatari kubwa sekta hiyo kupoteza maana kama suluhisho la ajira endapo serikali haitatafuta mbadala wa kudumu...
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema akiingia Ikulu atarejesha hadhi ya Bunge madhubuti lenye hoja, usimamizi na uwajibishaji wa serikali, badala ya kuwa la kusifia.
Amesema hataki kuona bunge la “machawa” wanaomsifia rais muda wote badala ya kuikosoa...
Mgombea Urais wa Chama Cha Ukombozi wa Umma, Salum Mwalim amesema akipewa ridhaa ya kuongoza Tanzania ataboresha miundombinu ya masoko ya vyakula Dar es Salaam na kujenga masoko ya kisasa ili kusaidia wafanyabiashara kukuza mitaji yao
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.