Huna haja ya kutumia mabilioni au kukaa kwenye hoteli ya nyota tano ili kufurahia kitanda chenye muonekano wa kifalme. Mabadiliko makubwa ya muonekano wa chumba chako yanaanzia kwenye sanaa ya kupangilia kitanda chako kila asubuhi!
Ukiangalia mpangilio wa kitanda hiki kwenye picha, utagundua...
BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA
NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU
AMEN
KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO
AMEN
Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee
Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku.
Akisimulia kisa hicho...
Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe.
Asili ni nguvu💪
Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.
Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
Ndoa zina mambo!
Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda.
Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta...
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Habari zenu? Wakuu nisaidieni hapa nahitaji kupunguza gharama, hichi kitanda mafundi wananitaji bei kubwa sana.
Hivyo nimeona ili kupunguza gharama ni bora nikanunue mbao mwenyewe, fundi nitakubaliana naye matengenezo tu vifaa vingine vyote juu yangu. Wajuzi nisaidieni hapo ninunue mbao ngapi...
Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home.
Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.