Spika na Mbunge Mwanajeshi wavutana kisa kigezo cha JKT

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,347
4,805
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.

Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala ya usalama wa Taifa na linapokuja suala la usalama ni vema liwe ni kipaumbele kwake.

Vinginevyo tunapoelekea ni dhahiri tutaitumbukiza nchi hii kwenye shimo.

Pia kuna kauli kaitoa Spika na kusema hata yeye ilikuwa aingie jeshini lakini akaishia njiani, aliyasema hayo baada ya mbunge kueleza baadhi ya vigezo vinavyoangaliwa kwa mtu kuingia jeshini kuwa ni pamoja na mtu asiye na unyayo bapa/flat foot. Spika akasema kwani flat foot ina shida gani. Kiukweli approach ya Spika katika hili haikuwa nzuri hadi inaonekana huende naye ana chuki kwa kuwa hakufanikiwa kujiunga. Bila kujua kuwa aliyakosa hayo mengine kwasababu Mwenyezi Mungu alikuwa amemuandalia njia nyingine ya yeye kuwa KIONGOZI MKUBWA WA MUHIMILI MMOJAWAPO KATIKA TAIFA HILI. Hivyo kuonyesha chuki kwa michakato mingine au kuutumia ukubwa wa nafasi yake kama fimbo ya kisasi NI KUMKOSEA MUNGU AMBAYE ANAWEZA KUMUADHIBU.
 
Write your reply...KWANI HYO FLAT FOOT INASHIDA GANI?je na kwa jkt wanaangalia hyo?
Mguu ambao hauna uvungu ni rahisi sana kuvunjika tofauti na mguu wenye uvungu. Haustdhamili vishindo sana na hauhimili mikiki mikiki
 
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.

Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala ya usalama wa Taifa na linapokuja suala la usalama ni vema liwe ni kipaumbele kwake.

Vinginevyo tunapoelekea ni dhahiri tutaitumbukiza nchi hii kwenye shimo.

Pia kuna kauli kaitoa Spika na kusema hata yeye ilikuwa aingie jeshini lakini akaishia njiani, aliyasema hayo baada ya mbunge kueleza baadhi ya vigezo vinavyoabgaliwa kwa mtu kuingia jeshini kuwa ni pamoja na mtu asiye na unyayo bapa/flat foot. Spika akasema kwani flat foot ina shida gani. Kiukweli approach ya Spika katika hili haikuwa nzuri hadi inaonekana huende naye ana chuki kwa kuwa hakufanikiwa kujiunga.

Hawa watu hawana uzoefu na masuala ya usalama wa nchi. Na namna majeshi yanavyo operate.
Wana judge kwa merit za kiraia na hapa ndio shida inapokuja

Waziri wa ulinzi huu ndio ulikuwa muda wake wa kuwaelesha wabunge.
Nchi za wenzetu waziri wa ulinzi anakuwa na background ya jeshi au polisi.
Naona conflict hapo mbeleni
 
Baadhi ya wateule wanamawazo ya kuwa siku moja wakawe viongozi wa malaika baada ya mapito yetu hapa duniani.aliwahi kusema mmoja wapo wa viongozi wakubwa hapa nchini, aliekwisha tangulia mbele za haki.yetu masikio
 
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.

Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala ya usalama wa Taifa na linapokuja suala la usalama ni vema liwe ni kipaumbele kwake.

Vinginevyo tunapoelekea ni dhahiri tutaitumbukiza nchi hii kwenye shimo.

Pia kuna kauli kaitoa Spika na kusema hata yeye ilikuwa aingie jeshini lakini akaishia njiani, aliyasema hayo baada ya mbunge kueleza baadhi ya vigezo vinavyoabgaliwa kwa mtu kuingia jeshini kuwa ni pamoja na mtu asiye na unyayo bapa/flat foot. Spika akasema kwani flat foot ina shida gani. Kiukweli approach ya Spika katika hili haikuwa nzuri hadi inaonekana huende naye ana chuki kwa kuwa hakufanikiwa kujiunga.
Hatutaki watt wetu waende kuteseka ,wanajeshi wanaolipwa mishahara minono wanatosha kupigania nchi
 
Nilimsikia nilisikitika sana. Nachelea kuwaza kuna nguvu kutoka nje inataka kuvunja uti wa mgongo wa jeshi na usalama wa nchi hii. Yule mjeshi katoa hoja yenye mashiko Lakin nani atamsikiliza watu wote wamebakia mashabiki badala ya wapima hoja.
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.

Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala ya usalama wa Taifa na linapokuja suala la usalama ni vema liwe ni kipaumbele kwake.

Vinginevyo tunapoelekea ni dhahiri tutaitumbukiza nchi hii kwenye shimo.

Pia kuna kauli kaitoa Spika na kusema hata yeye ilikuwa aingie jeshini lakini akaishia njiani, aliyasema hayo baada ya mbunge kueleza baadhi ya vigezo vinavyoabgaliwa kwa mtu kuingia jeshini kuwa ni pamoja na mtu asiye na unyayo bapa/flat foot. Spika akasema kwani flat foot ina shida gani. Kiukweli approach ya Spika katika hili haikuwa nzuri hadi inaonekana huende naye ana chuki kwa kuwa hakufanikiwa kujiunga.
Aka
 
Yule spika ni mpumbavu hovyo kabisa , ameaibisha kiti na kudharau jeshi, kuna haja jeshi litoe msimamo mkali sana kuhusu hili jambo na huyo mpumbavu apewe onyo la kutovuka mipaka.
 
Back
Top Bottom