NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,529
- 17,442
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?
Sasa hii serikali.inaweza nini?
Wapeni jkt waonyeshe uwezo wao!
Wasimamie mwendokasi tuone wapo siriaz kiasi Gani kuliko kuwapa wageni kusimamia mabasi!!
Tuwe siriaz jamani this is too much aiseh!
Usiku mwema!!