chooni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijakazi

    SGR yetu waweke Polisi au JKT chooni!

    Huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. Na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu. Bila ya hivyo itakuwa SGR ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya...
  2. maroon7

    Tujifunze Samakisamaki, unakaribishwa hadi chooni

    Huwa mara nyingi sana nawaza kuandika uzi kuhusu customer service ya Samakisamaki pale Masaki ila nasahau sababu nakuaga high. Sasa leo baada ya game ya Simba na Yanga nikawa najiwazia mambo mengi kujiliwaza baada pia ya kuhudumiwa vibaya na mhudumu sehemu nilipokua naangalia mpira. Ndio...
  3. Roving Journalist

    Katavi: Binti ajaribu kuua kichanga baada ya kujifungua akiwa chooni, akihofia kuachika

    Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio. Rehema akiwa katika hospitali hiyo...
  4. R

    Jinsi unavyozidi kuwa tajiri ndivyo unaongeza muda wa kuishi chooni

    Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani. Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua . Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la...
  5. W

    Baada ya kufuatilia uendaji wa chooni wa huyu dada muuza mgahawa, nimejiapiza sili tena migahawa ya uswahilini

    Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%...
  6. B

    SINGIDA: Asakwa kwa kutupa kichanga chooni

    JESHI la Polisi mkoani Singida, linamsaka mwanamke mmoja ambaye bado hajatambulika kwa majina na anwani ya makazi yake kwa kumtupa mtoto mchanga kwenye tundu la choo. Mtoto huyo baada ya kuopolewa kwenye tundu la choo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida ambapo bado...
  7. P

    UZUSHI Mende wanaopatikana kwenye Mazingira yetu ikiwemo chooni huzalisha maziwa yenye virutubisho vingi kuliko Maziwa ya ng'ombe

    Jamani kichwa kinajieleza. Kwanza ni kweli mende anazalisha maziwa? Mende hawa hawa tunaowaona chooni? Sasa maziwa yenye yanakaa wapi na wanakamuaje? Halafu eti inasemekana maziwa ya mende yanavirutubisho kuliko ya ng'ombe, si makubwa haya! Mende walivyo wachafu na wanavyoogopesha leo mtu...
  8. Logikos

    Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  9. Tajiri Tanzanite

    Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Hapo vip!! Binafsi nimeshindwa kumpa ushauri kuhusiana na tatizo hilo. Kuna jirani yangu leo amekuja kunieleza jambo la ajabu sana nikashangaa Hivi anadai ameingia chooni kukojoa usiku alivyomaliza mkoja gafla akapatwa na kizunguzungu na kupoteza ufahamu gafla akajikuta amepiga magoti akiwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Usipokuwa makini Unaweza pata Mikosi, mabalaa na magonjwa Chooni!

    USIPOKUWA MAKINI UNAWEZA KUPATA MIKOSI, MABALAA NA MAGONJWA YA AJABU CHOONI! Anaandika, Robert Heriel Moja ya dalili ya mtu mwenye akili ni kujua kutofautisha vitu visafi na vichafu, vitakatifu na Najisi. Ikiwa mtu yoyote atashindwa kutofautisha vitu hivyo basi ni kiashiria kuwa ni...
  11. Suley2019

    Igunga: Karatasi zinapotumika mbadala wa maji chooni

    Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora. Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
  12. Jumanne Mwita

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Video: Mtoto mdogo akutwa ametupwa chooni

    Ailiyekatupa chooni haka ka baby Mungu amuangaze na amuaibishe! Sijui hata nisemeje aaaagh Mungu wewe mwenyewe ndio tegemeo letu utakatunza katoto kwa njia zako mwenyewe. Amen.
  14. dyuteromaikota

    Nawa mikono ukitoka chooni

    Acha uchafu. Watu sehemu za bata hawanawi mikono kila watokapo maliwato. Anakuja mezani anataka mgonge mikono ukiongea point. Mi ntakwambia gonga meza. Mazafantaz. Enjoy your sunday.
  15. GENTAMYCINE

    Naomba kumjua Mbunifu wa Mtu 'Kuguna' akiwa Msalani ( Chooni ) pale akisikia Mtu mwingine anakuja Kuingia humo humo

    Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo? Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa...
  16. Analogia Malenga

    Kagera: Mtoto wa siku mbili atupwa chooni

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga aliyekuwa ametupwa chooni jana tarehe 01 Desemba, 2021 huko wilayani Karagwe kata ya Bugene katika Mtaa wa Lukajage. Mtoto huyo wa Kiume anayesadikiwa kuwa na umri wa Siku Mbili alitupwa katika choo hicho na mtu...
  17. Analogia Malenga

    Mama atupa mtoto wa siku 3 chooni na kutoweka

    Mtoto mwenye umri wa siku tatu, jinsia ya kike amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa ndani ya shimo la choo na mwanamke ambaye bado hajafahamika huku Jeshi la Polisi mkoani Mbeya likiendelea na msako mkali kumkamata mwanamke aliyefanya unyama huo. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya...
Back
Top Bottom