Premier is a title for the head of government in central governments, state governments and local governments of some countries. A second in command to a premier is designated as a deputy premier.
A premier will normally be a head of government, but is not the head of state. In presidential systems, the two roles are often combined into one, whereas in parliamentary systems of government the two are usually kept separate.
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja.
Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
Match Day
Kariakoo Derby
Vikosi VINAVYOANZA.
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...
Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba vyakubadilishia Nguo.
Wameingia kwenye nyumba ya pembeni...
Sasa ni saa 11:18jioni
DK 1
Mpira umeanza kwa...
MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️
Uchambuzi wa Mdau:
Manchester City
Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16.
Rekodi ya Nyumbani...
Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi
Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
Asee watu wangu wa nguvu wapenzi wa mpira kuna bonge la mechi yani nail biting usipime.
Timu mbili kubwa kwenye league kuu ya mpira Bangladesh Khelaghar Samaj Kalyan Samiti VS Dhaka Rangers Fc zinacheza.
Yani ni patashika kuna chenga za hatarii na assist za kufa mutu Lamine Yamal mchumba tu...
Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu.
Kikosi cha TRA United SC
Kikosi cha...
Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich.
Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
Muda huu Manchester United wapo uwanjani Old Trafford na wanaongoza kwa magoli 3-2 dhidi ya Fulham. Ushindi huu unawafanya kufikisha alama 41 kwenye msimamo wa ligi, huku wakiendeleza rekodi ya mechi tatu mfululizo za ushindi dhidi ya Manchester City na Arsenal, ishara ya kurejea kwa ubora wa...
I still wonder why some people say that the champions league is better than the premier league.
This premier league is the most tough, hardest and competitive leagues in the world.
Victor Gyokeres can score a Hattrick in champions league and fail to have a shot on target in premier league...
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola.
Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar...
⚽Manchester United alfajiri ya leo kwenye mchezo wake dhidi ya Everton wametoka sare ya 2 - 2 na kufanikiwa kuchukua kikombe cha kwanza Cha premier league summer series nchini Marekani.
Hivi kweli Wanamichezo hapa JamiiForums tukiweka pembeni Mahaba yetu kwa hizi Timu zetu kabisa tukifanya thorough analysis kuanzia Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ianze mpaka hivi juzi ilipomalizika na tukiangalia kuanzia Mechi walizocheza, Mchango wao na uwajibikaji wao kwa Timu zao tukiwa na Akili...
Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua...
Katika soka la Tanzania, pesa imekuwa silaha kubwa katika kujenga na kuendeleza vilabu vya ligi kuu. Katika misimu miwili iliyopita, GSM, mdhamini wa Yanga SC, alidhamini vilabu zaidi ya saba, akionyesha nguvu yake katika soko la udhamini wa soka.
Lakini sasa, Mohamed Dewji ameibuka na mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.