jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa, kipo Mbweni JKT, Dar es Salaam, bei ni milioni 450 za kitanzania

    #plotforsale Eneo linauzwa SQM 1540 Bei Ml 450 maongez kidogo Location mbweni JKT: Hati imenyoka sanaa Call/WhatsApp +255758844717 #plotforsale #mbwenijkt #houseforrent #houseforsale #property #realestate #realestatetanzania #dalali #wauzajiwanyumba #wauzajiwaviwaja #eneolinauzwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afafanua malipo ya Pensheni za Maveterani wa Vita ya Kagera kuanza Julai 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama alivyoeleza awali wakati alipokuwa Bungeni, Juni 23 katika Bunge la 12 Mkutano wa 19 na Kikao cha 51...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT amkabidhi Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu (Jenerali Sarakikya) gari jipya la kisasa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la kisasa aina ya Toyota VXR nyumbani kwake Arumeru nje kidogo ya Jiji la Arusha. Akiongea muda mfupi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

    Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine. Anaamua kutokwenda. 1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje? 2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
  5. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT BLOCK NO 8 KWA MAMA SAMIA

    Kiwanja kizuri kipo 𝖩𝗂𝗋𝖺𝗇𝗂 na bahari Chenye UKUBWA wa sqm za mraba 1000 kina hati miliki kutoka wizara ya Ardhi KINAUZWA kwa shilingi 450 Milion MAONGEZI YAPO jamani huku ni Pazuri sana BARABARA zote ni lami mpaka baharini wamejenga vigogo wengi wa serikali na kuhakikishia ukifika hauchomoki ...
  6. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  7. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Kuna orodha imetoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima. Hii hapa ipakue. Sasa nauliza kwani ni lazima?
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wazo la JKt ni wazo la Uganda kipindi cha Amimi

    JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda. Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana. Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini. Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
  11. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY 🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Updates Kikosi cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA JKT Updates... DK 41 Prince Dube anaipatia Yanga Goal lakuongoza. Alipokea Assist nzuri...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tulisema Hapa kuhusu JKT sio kipimo cha kupeleka watu JWTZ ni kupotezea watu mda.

    Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa. Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT. Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Matukio gani ambayo yalikukuta JKT hutayasahau

    Wakuu kwema Katika harakati za maisha kuna kupanda na kushuka ili ufikie malengo yako.Kuna baadhi ya watu walipitia JKT labdah kwa kujitolea au kwa mujibu WA Sheria(hasa wale wanaomaliza kidato cha sita),tushirikishane matukio na visa gani ambavyo uliwahi pitia hutakuja kusahau maishani
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Sioni sababu ya kuwabana JWTZ kwenye suala la ajira huku TISS mkiwaacha wafanye vile wanavyojitakia au TISS ni kubwa kuliko JWTZ? Hawa TISS hawajawahi tangaza ajira zao bali wanachukuana wenyewe na vijana wa CCM hii kwenu imekaa sawa?
  15. Foffana

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini enzi za JKT?

    Habari zenu Wakuu Natumaini mnaendelea vyema kabisa.Leo nimeona tuweze kushare matukio au mambo ambayo tulikutana nayo tukiwa katika makambi ya JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kujitolea Tukio ambalo sitolisahau ni kwenye kambi X tukiwa tunapiga kozi yetu na ikiwa tayari ishachanganya kilikuwa...
  16. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Lile Babu jinga la JKT

    Limeanza kutamba eti yanga ni halali yao. Shida ni kunywimwa pesa lilizoba kwa injinia kwamba linadaiwa kodi ya pango,basi limeweka nongwa ya kuisakama yanga
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

    Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
  20. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania JKT vijana wakimaliza wawe na ujuzi wa ufundi pia!

    Kuna Wimbi la vijana Wanaenda JKT,baada ya kumaliza Elimu za Msingi na Sekondari,Wanakaa jeshini wakijitolea miaka miwili, wanatoka bila ujuzi wowote mwingine zaidi ya Kutumia singe kujilinda na kupambana na Adui. Wengi wanajiunga JKT Ili wapate cheti,Ikitokea kazi kwenye vyombo vya ulinzi na...
Back
Top Bottom