nbc premier league

The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gate 0-2 Young Africans SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Stadium | 31/08/2026

    Young Africans SC imeendeleza mwendo wake wa ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate, na hivyo kufikisha ushindi wa tano mfululizo kwenye NBC Premier League. ⚽ Peter Shalulile ⚽ Mudathir Yahya Yanga imeendelea kuonyesha ubora na kasi katika ligi. KIKOSI CHA FG...
  2. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

    Timu za Simba na Yanga zimeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara, Yanga imeifunga Fountain Gate magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Simba imeichapa Geita Gold magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Isamuhyo, Dar es Salaam. Yanga inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 15 sawa na...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa NBC Premier League msimu wa 2026/27 umeanza kuonyesha ushindani

    Msimamo wa NBC Premier League msimu wa 2026/27 umeanza kuonyesha ushindani mkubwa baada ya michezo mitatu kwa kila timu. Yanga inaendelea kushika nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 9, sawa na Simba, lakini inaongoza kutokana na tofauti kubwa ya mabao. Yanga imefunga mabao 11 na kufungwa mawili...
  4. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania FT | Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi ya NBC | Uwanja wa Kaitaba | Kaitaba ni Nyekundu

    Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026. Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27. 📅 Leo...
  5. Palac

    JamiiForums Tanzania Full Time: Mashujaa FC 0-2 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC l Lake Tanganyika | 13.6.2026

    Ni siku nyingine tena ya Ligi Kuu ya NBC, ambapo lmkoani Kigoma kutapigwa mchezo wa kusisimua kati ya wenyeji Mashujaa FC na Yanga SC. Mchezo huo wa saa 10:15 jioni utachezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, huku Mashujaa FC wakiwakaribisha Wananchi katika muendelezo wa ligi hiyo. Nini...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZANIA NBC Premier League : Mbio za Top Scorer

    Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

    Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu. Kikosi cha TRA United SC Kikosi cha...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-0 Simba SC | Aprili 5, 2026 | Safari ya kuikimbiza Yanga ni ngumu

    Mbio za kuendelea kuifukuzia Yanga katika nafasi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa Azam FC na Simba baada ya timu hizo kugawana pointi moja kila upande kutokana na matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Matokeo hayo ya yanaifanya Simba kuendelea kubaki...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT: KMC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 11,2026 | Saa 1:00 Jioni

    Baada ya kuaga rasmi mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC sasa wanarejea kwenye majukumu ya Ligi Kuu ya NBC, wakitarajiwa kukipiga dhidi ya KMC, maarufu kama Watoza Ushuru wa Manispaa ya Kinondoni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 1 usiku katika dimba la KMC...
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT' Simba SC 0-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Desemba 07,2025

    Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3? Kikosi cha Simba...
  13. S

    JamiiForums Tanzania FT' Coastal Union 0: 1 Yanga | NBC Premier League | Jamhuri Dodoma | 07 Dec 2025

    Jioni ya leo majira ya saa 1 na dk 15 Coastal Union watakuwa uwanja wa Jamhuri Dodoma wakiwakaribisha Yanga SC.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 1-2 Simba l NBC premier League | Novemba 08 2025

    klabu ya Simba Sc itamenyana na JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi ya NBC leo, Novemba 08, 2025, katika uwanja wa Mej Jenerali Isamhyo majira saa 1 kamili usiku. All the Best Simba Sc.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT Yanga SC 2- 0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | KMC Complex | 28.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni. Mara ya mwisho timu hizi zilikutana mnamo tarehe 13 Mei 2024 katika mzunguko wa 27 wa ligi, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 3-0 Namungo Fc l NBC premier League lBenjamin Mkapa Stadiuml 1 October 2025

    Next match : Simba SC vs Namungo Fc game itapigwa saa 8:15PM Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT Mbeya City 0-0 Yanga |NBC Premier League| Sokoine Stadium Mbeya| September 30, 2025| Saa 16:15 Jioni

    Ligi kuu ya NBC inaendelea leo kwa michezo miwili muhimu. mchezo wa kwanza utazikutanisha Singida Black Stars na Mashujaa FC majira ya saa 14:00 mchana. baada ya hapo, kutakuwa na mtanange mkubwa kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga, ukiwa ni mchezo wa pili kwa yanga na wa kwanza wakiwa ugenini...
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

    Tunaanza na Pamba Jiji #NBCPremierLeague 2025/26🔰 Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji Dakika ya 17 Max nzengeli anakosa goli la wazi Dakika ya 24 Yng 0-0 pmb Dakika ya 28 Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 38 Yanga SC wanapata free kick ecua anapiga na kukosa Dakika ya 40...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za utani toka kwenye page za mitandao ya kijamii ya timu za Mpira wa miguu NBC Premier League

    Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii. Wamepost Singida Big Stars. "Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye Hekima na Busara Akatuuliza kwa nini Tumekubali Kumuachia Top Score wetu Buure kwa Kumpa Mpinzani...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Zouzoua ang’ara tuzo ya mwezi Juni NBC premier league

    Kiungo wa Young Africans, Peodoh Pacome Zouzoua, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Juni katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Zouzoua aliwashinda Clatous Chama wa Simba na Kibu Denis wa Yanga, baada ya kuisaidia Yanga kushinda mechi zote tatu alizocheza mwezi huo, akifunga mabao...
Back
Top Bottom