jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi." Sasa...
  2. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 10. Tukisusa JKT si kuukomoa mfumo bali tunaukomoa ubongo wetu wenyewe

    Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni, lakini kinatetemesha mustakabali wako. Akikuona huendi, anasema: “Huyu ndio rahisi kutumia baadae. Hana...
  3. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kujitolea JKT Siku Hizi Ni Hekima ya Mpumbafu

    (Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic) MWENDAWAZIMU: Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao. Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?” Sikiliza basi. Sijasema...
  4. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 8. “Uchumi wa JKT usingetoa ajira - ungezaa UTAIFA.”

    Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na umoja wa fikra, nidhamu ya kufanya kazi, na maono ya pamoja. Na JKT - ile ya mwalimu, si hii kambi ya...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania JKT Cement Industry: Natamani kuona wanapewa mgodi wa kuchakata Saruji

    Habari Tanzania ! Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee Saruji safi na bora, bei nafuu na yenye uwezo mzuri na iitwe (JKT Cement) . Jeshi la Kujenga Taifa...
  6. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mfumo ulioogopa vijana ilibidi uzuie JKT kama taasisi?

    (Hii ndiyo sehemu wanayoogopa watu kuitaja hadharani - leo tunaifungua kama pochi ya mama lakini siyo Mama Omary Atakuua ...Aaaah kwanza hana pochi anafunga kwenye kitenge anamambo ya kizamani) Vijana Ni “Tishio” Kwa Mfumo Wowote Unaoishi Kwa Mabavu ya Kiuchumi China, Urusi, Marekani, canada -...
  7. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 4. JKT Kama Taasisi ya Taifa, Sio Kambi ya Kuosha Vijana Wakae Kimya

    Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa. "JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi." Hili ndilo kosa la...
  8. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 3. Kifo cha Dira ya JKT: JKT ilitakiwa kuwa sehemu ya kutengeneza uchumi

    Ehee, sikilizeni sasa, enyi wana wa ardhi hii. Mmekaa kimya sana kama mifupa ya kaburini, mkisubiri siku ya kufufuliwa bila hata kujua mlizikwa lini. Ngoja niwaambie siri moja ambayo imefichwa kwa miaka 60: JKT haikuwahi kuwa kambi. Ilikuwa taasisi. Lakini usiku mmoja, bila kelele, bila duru...
  9. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jasiri wa mwisho - JKT dhidi ya mfumo wa vyama

    Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali moshi wa jiko la taifa unafuka hadharani. Kila mtu anasema “Tatizo ni viongozi” kana kwamba viongozi...
  10. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania MAKALA YA NANE “JKT: Injini ya Kujitegemea- Kutoka Ardhi, Viwanda Hadi Mawazo

    Ndugu zangu, Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo. Hapa...
  11. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT: Chuo cha Sayansi, Ubunifu na Uzalendo”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa. Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
  12. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania MAKALA YA TANO “JKT: Shina la Maadili na Uongozi wa Taifa”

    Ndugu zangu, Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo maana JKT ilipaswa kuwa. Nilipotazama vijana wa Tanzania, niliona viongozi wa kesho. Niliona...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  14. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waamuzi mechi za JKT vs Azam na Mbeya City vs Yanga wafungiwa. Bacca wa Yanga afungiwa michezo mitano

    Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC. Ibrahim...
  16. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
  17. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania JKT ni Shule ya Uongozi na Uzalendo

    Makala ya Tatu Ndugu zangu, Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima ya waasisi. Nilipokuwa JKT niliiona shule hiyo lakini haikuwepo. Niliona ni mahali ambapo kijana wa...
  18. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania “JKT: Mkono wa Kijiji, Moyo wa Mji”

    Makala ya Pili: Taifa halijengwi na kauli nzuri tu za ahadi ya Lami na maji, wala halisimamishwi na ndoto zisizokuwa na miguu. Taifa linajengwa na mikono ya watu wake, linadumishwa na mshikamano wa roho za watoto wake. Hii ndiyo maana tuliliasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) — si kama mapambo...
  19. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKT WANATAKA HELA ZAO HUKO NA WACHEZAJI MLIOWAAHIDI..HAHAHAA WATANI BANA

    WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI KIDUMU CHAMA CHETU
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
Back
Top Bottom