Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.

IMG_20240216_124134.jpg
 
Yani hiki kigezo kilikuwa kinawanyima vijana wengi frusa na ukiangalia kwa asilimia kubwa izi taasi ndo zinabeba idadi kubwa ya vijana upande wa ajira like Uhamiaji, zima moto, migration, TAKUKURU n.k

Walikuwa wanazingua sana, huna kambi za kupeleka vijana wote JKT ila kazi zikitoka unabagua wakati ni wewe ulishindwa wapeleka
 
Ni kweli kabisa mkuu, hakukuwa na fursa kwa vijana wengi kwa sababu hiyo. Sasa vijana wengi wataweza kushiriki hyo fursa.
 
Back
Top Bottom