Wanachokifundisha JKT/ Jeshi la kujenga taifa

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na agizo la serikali la kuwataka wanafunzi waliomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda kujiunga na mafunzo ya miezi mitatu ya jeshi la kujenga taifa maarufu kama ''kwa mujibu wa sheria''.

Sina uhakika kama mwanzilishi au serikali wakati inaanzisha mafunzo iliwaza kama mimi niwazavyo, Pengine lengo lilikuwa ni kujengo uzalendo kwa vijana waliomaliza kidato cha sita hasa ukizingatia hawa ndio wasomi wanaokuja kushika nafasi mbalimbali kama maofisa, wanasiasa au watumishi wa umma.

Mimi nimeona kitu kingine katika mafunzo haya positively. Katika yale mateso na mikiki mikiki ya mafunzo kuna vitu mtu hujifunza bila kujua kuwa ameshajifunza, hivi vitu ni pamoja na:

1. Nidhamu binafsi
Achana na ile nidhamu ya uoga kwa maafande, kuna nidhamu binafsi kwa lugha ya kiingereza ''self discipline'' ambayo huzungumzwa kama moja ya vitu vinavyomsaidia mtu kufikia malengo yake. Kupitia mafunzo haya, mwili pamoja na akili huvizoea baadhi ya vitu na kuvifanya kama tabia/ mazoea au tuseme kwa lugha ya kigeni ''Habits''. Hii ''self discipline'' hukufanya uzoee new habits kama vile;

- Kuamka mapema na kulala muda mchache, Hii humjenga recruit kuwa na uwezo wa kuamka mapema tofauti na kawaida hata baada ya kumaliza mafunzo, Habits hii hujengwa kwa kucheleweshwa kulala na kuamshwa mapema kwa kipindi chote atakachokuwa mafunzoni, kama tunavyojua akili hu-cope with a new habits after you do the same thing consistently within, at least forty days, unaweza kuona jinsi ambavyo jeshi linaijenga habit hii kwa recruit ndani ya miezi mitatu. I assume everyone knows hii itamsaidiaje recruit katika mambo yake hapo baadae hata akimaliza mafunzo especially anapokuja kuwa, let's say an entrepreneur.

Si rahisi ku-cope na hii tabia kwa sababu ni ngumu lakini jeshi hutumia njia ya kukulazimisha mpaka utajikuta umeshazoea, siku za mwanzo ni ngumu, ukizembea adhabu, lazima tu uzoee. No one can teach this in streets in a way that nattional service can do.

2. Uwezo wa kufuata ratiba

Jeshini lazima ufuate ratiba, haijalishi umechoka, hujisikii au hutaki. Hii pia utai-cope as your new habit na itakuwa na advantage kwako siku zote!

3. Uvumilivu
JKT will train recruit about this kwa kiwango kikubwa sana, hii itamjenga katika harakati zake hapo baadae, iwe ni ajira inahitaji uvumilivu, biashara inahitaji uvumilivu nk. Vuta picha yale matusi, manyanyaso na kuonewa lakini a recruit is always calm, Kiuhalisia jeshi linampa recruit mafunzo practically, one day atapata ajira na boss atakuwa mkorofi bila uvumilivu you can guess!

4. Flexibility

Hii inajieleza, jeshi humfanya recruit kuwa flexible,kuwa tayari kuishi kwenye maisha ya aina tofauti tofauti.

5. phyical health
Do I need to explain anything about this?

6.How not to react hungrily when offended or embarrassed!

High school students and parents I dedicate this thread for you!
 
Jukumu letu wazazi ni kuwafundisha hayo yote.

Kwa vile it's like tumeshindwa Acha jeshi litusaidie
 
Siwaoni Watanzania waliofanikisha hayo kutokana na mafunzo.

Kwanza hata walinzi wa suma jkt ni wabovu kuliko.
Tena wala rushwa wakubwa
 
Back
Top Bottom