Search results

  1. Patriot

    Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

    Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe...
  2. Patriot

    Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
  3. Patriot

    Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  4. Patriot

    Mh. Rais, itazame nchi kwa umoja wake. Ukabila na upendeleo unashika kasi ukiwepo

    Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa. Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
  5. Patriot

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza! La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkubwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali...
  6. Patriot

    Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji. Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
  7. Patriot

    Bandari: Kwa elimu ile na mapition ya maisha yale, tulitegemea nini Kwa rais wetu?

    Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa...
  8. Patriot

    Rasimu ya sera mpya ya Elimu; Tunachezewa kama yale ya Kilimo kwa vijana

    Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais? Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
  9. Patriot

    Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

    Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu...
  10. Patriot

    Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  11. Patriot

    Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  12. Patriot

    Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

    Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali. Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
  13. Patriot

    Bei ya mbolea: Waziri Bashe amepotosha Bunge na kushangiliwa kwa kelele tu

    Nimetembelea ukurasa wa World Bank ambako Bashe alichota bei na kuzilinganisha na mwaka huu, 2022. Kwa maoni yangu, Waziri huyu hafai au an ufahamu mdogo. Lakini pia naona bunge likishangilia kila mtu anayetumia kelele kujidai kutetea wananchi. Hapa Bashe alitumia kelele kutetea wakulima...
  14. Patriot

    Mgodi wa North Mara imeleta maafa Ziwa Victoria tena, Serikali inajiuma uma tu kwa kamati feki

    Hili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM. Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa analazimiasha ionekane hakuna tatizo la mgodi. Ni wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia...
  15. Patriot

    Rais Samia huna nia njema na Wizara ya Nishati, haifiki kokote kwa teuzi za urafiki

    Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu. Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika? Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika...
  16. Patriot

    Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

    Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka...
  17. Patriot

    Mwelekeo wa Rais Samia kwa maendeleo ya nchi ni upi?

    Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100. Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni mpango mkakati wa kufikia malengo fulani. Je, tumeweza kujua Rais Samia ana malengo gani na nchi...
  18. Patriot

    Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

    Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
  19. Patriot

    Michango ya JF inawasaidia Wabunge wanaosoma majadiliano haya

    Tukumbuke wabunge wengi elimu ni ndogo kuliko wenye elimu kubwa. Bahati mbaya hawana tabia ya kutafuta washauri kabla ya kujipanga kutoa michango. Lakini nimekuwa na hisia kwamba wapo wanaotafuta michango mizuri kutoka hapa JF. Kwa wiki nzima nimeangalia baadhi michango ya wabunge...
  20. Patriot

    Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

    Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu. 1. Ukiwa Afisa Ardhi, unapima viwanja na kujimilikisha viwanja vingi ili uwauzie wengine. 2...
Back
Top Bottom