kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kwa sasa sioni Mtu Mwenye Nguvu na Bold Man kama Hayati Membe kuelekea 2025

    Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea. Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za...
  2. Deogratias Mutungi

    Zanzibar, CCM vs ACT-Wazalendo kuelekea 2025

    Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
  3. Heparin

    Kuelekea 2025: Sarakasi za Wabunge majimboni

    Wakuu, Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali. Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii. Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha...
  4. T

    Kwanini CHADEMA watashindwa mapema kuelekea 2025 hata baada ya maandamano?

    Ndugu wanajukwaa, Sio mara Moja au mbili maandamano kuonesha matokeo chanya huko duniani kiasi Cha kubadili kabisa hali na mfumo mzima wa maisha lakini pia yameonesha ni chaguo la mwisho la kufikisha ujumbe fulani kama machaguo mengine yameshindwa kutoa majibu. Mahali pengine duniani ambapo...
  5. Tlaatlaah

    Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

    Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma? Na je wanayo winning formular ya kushinda...
  6. GENTAMYCINE

    Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  7. Magufuli 05

    Makonda, wanakutumia kuelekea 2025. Wakizingua gombea mwenyewe

    Sina mashaka na upeo na uelewa wako katika hili. Naamini wewe unaijua vizuri CCM. Kwa ufupi Sana,Jamaa wamekuweka hapo kutafuta kura za wasukuma. Bahati nzuri kabisa hii ni fursa kwako ya kujitangaza na ilivyo ajabu Watanzania wamekupokea vizuri Sana. Unaushawishi na kuna maono mazuri...
  8. D

    Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  9. The Supreme Conqueror

    Mbio kuelekea 2025 machozi jasho na damu

    Wakuu kumekua hali ya kawaida katika Nchi zote Duniani inapokaribia mwaka wa uchaguzi huwa na fukuto na joto la vyama na Wanasiasa kujiandaa kwajili ya uchaguzi husika hii tumekua tukisikia kila Kona ya Dunia Watu kushutumiana, kuchafuana, kuwekeana vikwazo na wakati mwingine hata kudhuriana...
  10. zitto junior

    Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

    Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini. Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio...
  11. R

    Bi. Sophia Edward Mjema sioni kama atadumu kwenye nafasi ya uenezi kuelekea 2025

    May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama...
  12. The Supreme Conqueror

    Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

    Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano...
  13. Mama Amon

    Kuelekea 2025: Rais Samia kuvuna kura za vijana, wanawake, wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ZIPO kila dalili kwamba Dkt. Samia Suluhu Hassan, atagombea nafasi ya urais anayoishikilia sasa katika uchaguzi mkuu ujao – miaka mitatu kutoka sasa. Mbali na “kufokea” waliozusha kwamba hatagombea na yeye mwenyewe kueleza kwamba...
  14. R

    Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  15. Patriot

    Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  16. K

    Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

    Mstaafu Jakaya Kikwete anawashwa na nini? Na Mjumbe wa Mkutano Mkuu MWAKA 2017, aliyekuwa Rais wakati huo, John Pombe Magufuli, alisema: "wastaafu wengine hawachoki kusema, wana washwa washwa." Magufuli alitoa kauli hiyo kuwalenga baadhi ya wastaafu ambao aliwaona kuwa wanaleta chokochoko...
  17. peno hasegawa

    USHAURI: Wajumbe wa NEC-CCM waliopata kura zaidi ya 269 ni hazina kwa CCM kuelekea 2025, wateuliwe

    Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako. Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu...
  18. N

    Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
  19. Msanii

    Kuelekea 2025 tutegemee drama za kutosha

    Kuna maswali wanajiuliza wananchi kuhusiana na kucharuka kwa wabuge wa Bunge la CCM kwenye kikao kinachoendelea huko Dodoma. Napenda kuwakumbusha kwamba tusiwe wasahaulifu sana tukidhani wanaongea kwa maslahi ya nchi. Tujikite kwenye msingi wa hoja zao hasa kuchunguza vyanzo vya hizo hasira...
Back
Top Bottom