Edward J. Rasimus (September 29, 1942–January 30, 2013) was a retired United States Air Force Major and a veteran fighter pilot of the Vietnam war. Rasimus flew more than 250 combat missions in F-105 Thunderchief and F-4 Phantom II fighters during the conflict and received the Silver Star, the Distinguished Flying Cross five times, and numerous Air Medals. Rasimus was an award-winning author residing in Northern Texas.
Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
Wadau karibuni tutoe maoni kwenye rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): The National Dialogue, Truth, Reconciliation and Social Healing Bill, 2026.
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK).
Wakuu
Nilikuwa naangalia series ya The American Experiment ikielezea how America was founded na walivyoandika katiba
Kumbe Katiba ya Marekani ya mwaka 1787 iliandaliwa na wazee 55 tu, wakiongozwa na George Washington kama mwenyekiti.
Walijifungia katika ukumbi mmoja wenye...
Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi.
Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai.
Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
elimu
elimu ya
habari
hana
inahitaji
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kisanga
kupata
miaka
miaka mitatu
mpya
rais
rais samia
rasimu
samia
samia hana
tume
wapi
washauri
Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia yangu.
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tishio kubwa la usalama (hata kuuwawa) kutokana na...
Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo.
Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
Tume imezunguuka nchi nzima, bunge likaundwa, watu wakala posho, wengine wakasumbua kichwa kuandika na kutoa maoni, amd them ni kama vile mchakato ushatupwa, WHYYYYY?
Pesa za umma
Hajaliwi aliechuma
Wanaokula wana njama
Kama huamini, uliza father Kitima.
Ama Tundu Lissu, gerezani alikokwama...
BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania
Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa kumuwajibisha? Aliye na majibu anijibu
Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo?
Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
Salaam, Shalom!
Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,
Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,
Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya...
SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU
Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo.
Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi.
Kwamba ukaguzi wa magari au inatakiwa pesa kwa mtindo ule ule wa kariakoo? Kwani Kariakoo walikitanzua...
Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo.
Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi.
Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo:
1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.