mollel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Afya Tanzania

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya

    Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza rasmi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali...
  2. S

    Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  3. biabia

    Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  4. Patriot

    Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
  5. Mhaya

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  6. J

    Kuna uthibitisho gani kuwa video ya mtu aliyeuawa ni Joshua Mollel?

    Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya 1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel? 2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya...
  7. biabia

    Video ya Joshua Mollel akitekwa na Hamas

    Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers...
  8. Msitari wa pambizo

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  9. Nanyaro Ephata

    Joshua Mollel has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his loved ones

    In the face of uncertainty and distress, our hearts go out to Joshua Mollel and his family. Since October 7th, Joshua has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his loved ones. The rumors surrounding his potential demise, coupled with the inability to locate his body...
  10. LAZIMA NISEME

    MAJIBU UCHUNGUZI: Kukamatwa kwa Tumokinoi Mollel Samaito (Adv.Francis Samaito) na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani Longido. Akaangwa

    TUMOKINOI MOLLEL SAMAITO (Francis Samaiko - PICHANI) aliwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 30/11/2023. madini ya rubi Hakuna mgogoro wowote kati ya mmiliki wa leseni (kijiji cha les mundarara) na mwekezaji huyo (northern crystal ruby limited)...
  11. sky soldier

    Serikali ya TZ imethitishwa kwamba Joshua Mollel, aliekuwa Israel kujifunza kilimo cha kisasa aliuawa baada ya kutekwa na kundi la Hamas Octoba 7.

    Serikali ya Israel imeijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas 7 Oktoba 2023. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ambapo ameeleza kuwa "kwa...
  12. D

    TANZIA: Mtanzania Joshua Mollel auwawa na kundi la Hamas huko Gaza

    Wasalaam. Habari za kusikitisha ni kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliuwawa na kundi la Hamas katika shambulio la Oktoba 7. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba inaeleza kuwa Ndg Joshua, alienda katika mafunzo ya Kilimo nchini Israel...
  13. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  14. benzemah

    Naibu Waziri Mollel asema Rais Samia amefanya uwekezaji mkubwa Sekta ya Afya

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini ili kuhakikisha afya za wananchi zinaimarika Dkt. Mollel amebainisha hayo wakati...
  15. J

    Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

    Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani Dkt. Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo Maelezo hayo yamepuuzwa na Aida wa Chadema Nawatakia...
  16. B

    Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
  17. ASIWAJU

    DR. GODWIN MOLLEL YUPO SAHIHI KABISA[ WATANZANIA WENGI NI WAJINGA ]

    Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania. Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli. Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo...
  18. saidoo25

    Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  19. M

    Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

    Duh === "Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
  20. Idugunde

    Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
Back
Top Bottom