Waziri wa Nishati, Deogratus Ndejembi leo Aprili 22, 2026 amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma, ambapo ameomba jumla ya tsh trilioni 2,525,401,129,000
Mchanganuo
1. Tsh trilioni 2,462,364,836,000 sawa na 97.5% ya bajeti yote ni kwa...