Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari.
Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
Anonymous
Thread
changamoto
fedha
kodi
magari
mpya
ongezeko
tra
wizarawizarayafedha
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali itaendelea kutekeleza Mkakati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Muda wa Kati wa 2025/26–2027/28 kwa kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha ukusanyaji wa mapato.
Amesema miongoni mwa hatua hizo ni kuvutia uwekezaji...
Bunge limeombwa kujadili na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mafungu nane ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 45 la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2026/27 yenye jumla ya shilingi trilioni 21.52. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 809.12 zimetengwa kwa mishahara...
Dodoma 2 Juni, 2026: Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango na Bajeti bungeni, Waziri wa Fedha, Mhe...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto...
BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA
Kwenda kwa:
Capital Markets and Securities Authority (CMSA)
Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)
Wizara ya Fedha Tanzania
YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA
Kwenda kwa:
Capital Markets and Securities Authority (CMSA)
Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)
Wizara ya Fedha Tanzania
YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Dkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan.
Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa jana imesema kuwa Dkt. Nyansaho...
Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha.
Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi
Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia.
Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo.
Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11.
Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
Anonymous
Thread
bank
fedha
iangalie
kwani
makato
makubwa
nmb
vizuri
wizarawizarayafedha
Nimeambiwa kwa njia simu kuwa leo alikuwa kwenye msiba wa mzee mmoja hapo Chato. Hana jipya zaidi ya kujtambulisha kuwa baba yake alikuwa mpishi kwenye kianda cha kuchambua pamaba na kikafunguliwa na mwalimu Nyererw miaka ya sitini.
Lakini mbali na hilo tokea amalize shule ya sekondari Chato...
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali,
Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami?
Angalia hii clip Mwamposa akipngea.
Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.
Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Sera za Usimamizi wa Ununuzi wa Umma, imeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii kuhusu mnyororo wa ugavi, ikiwa ni juhudi za kuimarisha uelewa na ushirikiano kati ya vyombo vya habari na serikali katika kusimamia rasilimali za umma...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katika kikao...
DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
-
Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara hiyo kwa...
Salaam alleikhum ndg zanguni. Juzi kati kuna ndugu yangu alinitafuta akiwa kachafukwa mithiri ya kujitoa uhai.
Issue si nyingine ila ni alikuwa amebanwa na taasisi zilizoibuka nchini zikikopesha pesa . Nikagundua kuwa unakopeshwa bila hata kuonana nao. Hakuna unaposign mkataba ila pesa...
WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa.
Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.