Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,698
4,693
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
 
Wapo wale ambao huamini ni ujinga kuzungumzia uraia au asili za wenzetu na kujilinganisha na US, wakati ni ujinga tu! Pamoja na umwamba na nguvu za kifedha kuchunguza watu masaa yote bado US wamelizwa mara nyingi sana na raia waliohamia, na hasa kutokea Asia na ulaya ya mashariki.

Hawa wahamiaji tunaowaita ni raia, na kujifanya eti kuwataja ni ubaguzi, wanaweza kuwa wanahamisha taarifa za maofisi yao kila siku! Tena wengine wana kinga ya CCM maana ukiwa huko makosa yote hufunikwa.
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.
ti. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Watanzania wengi ni watu mbumbumbu kuhusu uraia na usalama wa nchi. Wanabagua waafrika wenzao wakati huo huo wanapigania uraia pacha.

Yaani hawamtaki mtanzania mwenye asili ya nchi jirani na wakati huo huo wanataka mtanzania awe na uraia pacha wa nchi nyingine
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Kuna mmoja hadi leo hawatuonyeshi hata kaburi la Baba yake
 
Watanzania wengi ni watu mbumbumbu kuhusu uraia na usalama wa nchi.
Wanabagua waafrika wenzao wakati huo huo wanapigania uraia pacha.
Yaani hawamtaki mtanzania mwenye asili ya nchi jirani na wakati huo huo wanataka mtanzania awe na uraia pacha wa nchi nyingine
Yani watu wamevurugwa kidogo tu, wanachanganya uraia na uzawa, uzawa na uzalendo, uzalendo na ufanisi.

Basi vurugu tupu.

Unaweza ukawa raia lakini si mzawa.

Unaweza kuwa mzawa lakini si raia.

Unaweza kuwa mzawa, lakini si mzalendo.

Unaweza kuwa mzalendo, lakini si mzawa.

Unaweza kuwa raia, lakini si mzalendo.

Unaweza kuwa mzalendo, lakini si raia.

Unaweza kuwa mzalendo lakini si mfanisi.

Unaweza kuwa mfanisi, lakini si mzalendo.
 
Wavulugika hawaelewi wanachokitaka wanafikiri wanaangalia maumbile ya mtu na rangi yake ndio wanafikiri ni uzalendo
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Ukitaka kujua nani alikuwa hapa Tanzania kabla ya Bantu migration, utakuta ni kabila la WASONJO tu wanaopatikana Loliondo Arusha.

Wengine wote ni migrants from wherever; Congo desert, Nile, Middle East, South Africa erc

Usijedhani wewe mtoa mada ni raia zaidi kuliko watanzania wengine
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Bashe keshapanic
 
Yani watu wamevurugwa kidogo tu, wanachanganya uraia na uzawa, uzawa na uzalendo, uzalendo na ufanisi.

Basi vurugu tupu.

Unaweza ukawa raia lakini si mzawa.

Unaweza kuwa mzawa lakini si raia.

Unaweza kuwa mzawa, lakini si mzalendo.

Unaweza kuwa mzalendo, lakini si mzawa.

Unaweza kuwa raia, lakini si mzalendo.

Unaweza kuwa mzalendo, lakini si raia.

Unaweza kuwa mzalendo lakini si mfanisi.

Unaweza kuwa mfanisi, lakini si mzalendo.
Bado huo siyo utetezi kuhusu uraia wa mtu
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Msihangaike na wanasiasa hao ni wanafiki tu mbona tunanuana sana.Makamu wa rais anatokea n hi jirani,majaliwa hana shida.kuna wakuu wa idara wengi siyo raia hasa wanatokea Burundi,Rwanda nk lkn kule Ruvuma hakuna sana shida hiyo bali Kigoma,Musoma,Kagera hili tatizo ni kubwa.kwa bahati nzuri tunawafahamu sana na tunaweza weka mkeka humu ndani
 
Imani ya CCM inasema binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.
 
Bado huo siyo utetezi kuhusu uraia wa mtu
Kwani wapi nilikuwa nafanya utetezi kuhusu uraia wa mtu?

Nakuambia the whole thing is a meaningless charade.

Hao watu waliopiga EPA, Meremeta, Deep Green etc kwani wote si raia?

Mimi kuna mtoto wa Kihehe alikuwa uhamiaji kauza mamia ya passport za Tanzania kwa Wasomali.

Kwani huyo hakuwa raia?
 
Nyerere aliyakataa haya mambo ya kuhojihoji uraia. Aliamini binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.

Mwl. alimteua Amir Jamal kuwa Waziri wa Fedha na Uchumi. Amir Jamal hakuwa Mzanaki.

Pia alibakisha wazungu kadhaa kwenye serikali yake baada ya uhuru.

Mkapa alimteua Shamim Khan kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara 1995. Mama Khan hakuwa Mluguru, Mngulu, Mkutu, Msagara, Mvidunda, Mkaguru, Mmbunga, Mndamba, Mpogoro wala Mngindo.

Dkt. Louis Seymour Bazett Leakey alikuwa Mhifadhi Mkuu wa Jamhuri ya Kenya.

Dkt. Guy Scott alikuwa rais wa muda wa Zambia baada ya Michael Satta kufariki 2014, pia Scott alikuwa Makamu wa Rais 2011-2014, asili yake ni Ulaya Mashariki.

Dkt. F. W de Klerk alichaguliwa kuwa rais baada ya Pik Botha kupigwa kiharusi 1989. De Klerk ana asili ya Kenya.

John Bowes Griffin Narendra M. Patel alikuwa Speaker wa kwanza wa Bunge la Uganda huru chini ya rais wa kwanza wa Uganda Edward Mutesa.

Isije kutupa shida kama Mtz mwenye asili ya kiarabu akitawala JMT kupitia CCM. Tujiandae kisaikolojia.
 
Msihangaike na wanasiasa hao ni wanafiki tu mbona tunanuana sana.Makamu wa rais anatokea n hi jirani,majaliwa hana shida.kuna wakuu wa idara wengi siyo raia hasa wanatokea Burundi,Rwanda nk lkn kule Ruvuma hakuna sana shida hiyo bali Kigoma,Musoma,Kagera hili tatizo ni kubwa.kwa bahati nzuri tunawafahamu sana na tunaweza weka mkeka humu ndani
Weka mkeka tuwatambue!!
 
Nyerere aliyakataa haya mambo ya kuhojihoji uraia. Aliamini binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.

Mwl. alimteua Amir Jamal kuwa Waziri wa Fedha na Uchumi. Amir Jamal hakuwa Mzanaki.

Pia alibakisha wazungu kadhaa kwenye serikali yake baada ya uhuru.

Mkapa alimteua Shamim Khan kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara 1995. Mama Khan hakuwa Mluguru, Mngulu, Mkutu, Msagara, Mvidunda, Mkaguru, Mmbunga, Mndamba, Mpogoro wala Mngindo.

Dkt. Louis Seymour Bazett Leakey alikuwa Mhifadhi Mkuu wa Jamhuri ya Kenya.

Dkt. Guy Scott alikuwa rais wa muda wa Zambia baada ya Michael Satta kufariki 2014, pia Scott alikuwa Makamu wa Rais 2011-2014, asili yake ni Ulaya Mashariki.

Dkt. F. W de Klerk alichaguliwa kuwa rais baada ya Pik Botha kupigwa kiharusi 1989. De Klerk ana asili ya Kenya.

John Bowes Griffin Narendra M. Patel alikuwa Speaker wa kwanza wa Bunge la Uganda huru chini ya rais wa kwanza wa Uganda Edward Mutesa.

Isije kutupa shida kama Mtz mwenye asili ya kiarabu akitawala JMT kupitia CCM. Tujiandae kisaikolojia.
Umetufunga kamba. Fredrick De Klerk alizaliwa mwaka 1936 kwenye kitongoji cha Mayfair ndani ya jiji la Johannesburg. Hakuwa na uhusiano wowote na kenya
 
Wazazi wake. Asili ya wazazi wa mtu ni asili yake pia.

Obama alizaliwa US lakini ana asili yake Kenya pia.

Rishi Sunak ni mzaliwa wa Southampton Hampshire UK na wazazi wa Kihindu wa ukoo wa Punjab. Mama yake akiwa mzaliwa wa Kigoma na baba Nairobi.
 
Back
Top Bottom