Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,698
4,693
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
 
Hana habari na mambo mengi sana, hata huu mgao wa umeme kwake ni kama hadithi tu, habari ya kifo cha Mollel ndio kabisa, atakuwa ameshasahau siku nyingi sana.

Rais anayetumia sehemu kubwa ya madaraka yake kwa vacation, muda mwingi yuko either angani au anakuwa ameshatua nchi za watu kwa mambo yake.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
we jamaa hivi unajua ni watanzania wangapi wanauwawa kila siku Afrika Kusini? Kwa iyo kila kifo rais atume rambi rambi? Au kwa sababu hao walikuwa israel? acha ubaguzi
 
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
Yupo dar

Check picha mitandaoni
 
Unajua ni watanzania wangapi wanauwawa Afrika Kusini kila siku? Mbona hilo hulisemei mmwng' ang'ana na hao wawili, wana uspecial gani?
Huyu Kafiri kauliwa na Waislam kwenye vita ya kutetea Waislam, Mama Samia Suluhu Hassan atume salamu za rambirambi za nini sasa?! Ujue watu wanashangaza sana Kaka?!
 
Kwa sarakasi za vifo vyao hata wewe ungetoa salam za rambi rambi?.uliambiwa katekwa mara inatolewa video akiuawa, amelala chini,hapo hapo unaambiwa mwili wake wameuchukua hamas.wewe kuweza?kwanini ile video haiendelei nani kaikata?
 
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
Tukubali tukatae lakini tarehe 17/3/2021
Huko mbeleni itakumbukwa sana.
Tuendako ni hatari tupu.

Mtachukia lakini tulipoteza mtu mwenye uchungu na nchi...
Japo alikuwa na mapungufu mengi lkn hapa tulipo tupo choo cha shimo
 
Screenshot_20231110-005706.jpg

NA HUYU KICHAA VIPI
 
Hao mbwa waliokufa huko si walijitakia wenyewe kujifanya wanajiunga na jeshi la israhell
 
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
angekuwa muislam hata kwao angeenda.
 
Wa Tanzania kila siku wanakufa haijalishi kafa Israel, Congo au Morogoro kwa hiyo kila kifo Rais atoee pole. Najuwa utasema yule amefariki nchi za vita lakini huwa tunamuaga ukiwa unaenda nchi hatarishi.
 
Tukubali tukatae lakini tarehe 17/3/2021
Huko mbeleni itakumbukwa sana.
Tuendako ni hatari tupu.

Mtachukia lakini tulipoteza mtu mwenye uchungu na nchi...
Japo alikuwa na mapungufu mengi lkn hapa tulipo tupo choo cha shimo
Sisi watanzania ni wanafiki sana,leo mnamkumbuka magufuli maovu yake mmeyasahau,leo kawa Shujaa?
 
Back
Top Bottom