Search results

  1. Torra Siabba

    Msimamizi uwanja Nyamagana atolewe mara moja

    Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh...
  2. Torra Siabba

    Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  3. Torra Siabba

    Aloyce Nyanda wa Star TV aachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa kwa muda

    Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza. Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache...
  4. Torra Siabba

    Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  5. Torra Siabba

    Pale Oscar Oscar atakapogeuka shujaa

    Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa. Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika...
  6. Torra Siabba

    Machinga Mwanza warudi kwa kasi barabarani

    Wakati serikali mkoani Mwanza ikiwa imetenga maeneo maalumu kwaajili ya Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga kufanya biashara zao, wafanya biashara hao wameanza kurudi kufanya biashara kandokando ya barabara jambo ambalo lilipigwa marufuku na Serikali. Jana nilifanya ziara...
  7. Torra Siabba

    DOKEZO Ni aibu Jiji la Mwanza kuwa na mgao wa maji

    Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha. Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
  8. Torra Siabba

    Mwanza Mamlaka ya maji taka Mjitafakari

    Ilipo Stand ya Igombe, Mtaa wa Posta Jijini Mwanza jirani yake kuna chemba ya kusafirisha maji machafu (Mavi) sasa chemba imefumuka ina wiki sasa. Eneo lile linatoa harufu ile mbaya, maji yanatiririka kiasi kwamba kuna chembechembe za vinyesi ambazo zinaonekana na kuhatarisha afya za watu...
  9. Torra Siabba

    Kwa hili LATRA mmechemka

    Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri hapa nchini LATRA jana ilitoa waraka wa kuyafungia mabasi ya Kampuni ya Ally's Star na Katarama kwa Sababu walizozitaja kuwa Eti wanashindana kufika kwenye vituo vya Mabasi na mabasi yao kumwagiwa Maji. Kama LATRA wangekuja na Hoja ya mabasi haya kufika kwenye...
  10. Torra Siabba

    Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka Jijini Mwanza (MWAUWASA) mnatakiwa kujitafakari

    Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA) mnatakiwa kujitafakari kutokana na utendaji kazi wenu mbovu ambao mwisho wa siku kama msipokemewa yatakuwa mazoea sasa. Hivi sasa ni wiki ya pili Barabara ya Posta jirani na Benki ya Kilimo Katikati ya jiji la Mwanza kuna Chemba ya Maji...
  11. Torra Siabba

    Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
  12. Torra Siabba

    DOKEZO Yusuph Kitumbo mkurugenzi KITAYOSCE Anayetoa rushwa michezoni kwa kurubuni wachezaji. TFF Chukua hatua

    Yusuf Kitumbo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora kwa mara nyingine yupo katikati ya tuhuma za rushwa na kupanga matokeo kwa ligi daraja la kwanza. Alifungiwa mwaka 2016 na utawala wa Jamal Malinzi kwa kupanga...
  13. Torra Siabba

    Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  14. Torra Siabba

    Air Tanzania wanatuchukulia sisi abiria wao kama takataka zisizo na thamani

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku...
  15. Torra Siabba

    DOKEZO Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa. Takwimu hizo ni za Mwaka 2020. Takwimu hizo zimenisukuma kutoa ya...
  16. Torra Siabba

    DOKEZO Hospitali ya Bugando hamuwaoni Manesi wanaoacha kuhudumia Wagonjwa na kuwa bize na Biashara kwa Wajawazito?

    Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu. Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa...
  17. Torra Siabba

    Nyamagana: Kata ya Bulale walia na ubovu wa Barabara

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Bulale Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza baadhi ya wananchi wanaoishi katika maeneo hayo wameiomba serikali kuwatengenezea Barabara itokayo Buhongwa kuelekea kituo cha Afya Bulale ambayo kimsingi mpaka sasa inapitika kwa Shida hasa...
  18. Torra Siabba

    Pamba FC mkombozi wa soka la Mwanza

    Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora, Mwamuzi kwenye mchezo huo Emmanuel Safari alishindwa kuumudu mchezo huo baada ya kushindwa kutoa penati...
  19. Torra Siabba

    Madereva acheki kuweka roho za watu rehani, fedha haziwasaidii kitu

    Kuna kitu kimenishangaza sana, nilikua na safari yangu ya kutoka Nilipo kwenda Kigoma, nilisafiri na basi la Adventure, wakati tukiwa tumepita Kibondo dereva akaanza kupiga soga na sisi Abiria tuliokua karibu na yeye kuhusu Makampuni ya Magari namna wanavyodhoofishana. Basi akasema kwamba...
  20. Torra Siabba

    Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe. Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
Back
Top Bottom