Aloyce Nyanda wa Star TV aachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa kwa muda

Torra Siabba

Senior Member
Jul 24, 2016
105
102
Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda

Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza.

Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache na kuandikishwa maelezo kwenye kituo cha polisi.

Taarifa za ndani zaidi ni kuwa alikuwa anatuhumiwa kwa matumizi ya mitandao ya kijamii.

Baada ya kuandika maelezo aliachiwa ili aendelee na majukumu yake.

Tunaendelea kufuatilia jambo ili kama lina vina saba vya kuminya uhuru wa habari na haki ya kujieleza na pia usalama wake.

Edwin Soko
22.08.2023
 
Atapewa maelekezo ya kutowaalika Wanasiasa wa upende ule mwingine kwenye kipindi chake, maana Joto limeanza kuwa kali Mjini kuelekea 2025
 
Ubinafsi ni nini?
Ubinafsi ni kujius mwenyewe, ikiwa ungetumia nafasi hio kutuomdolea takataka.., ingekua kila anayejiua anaondoka na jitu moja kandamizi, mambo yangekua shwari sana.
 
Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda

Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza.

Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache na kuandikishwa maelezo kwenye kituo cha polisi.

Taarifa za ndani zaidi ni kuwa alikuwa anatuhumiwa kwa matumizi ya mitandao ya kijamii.

Baada ya kuandika maelezo aliachiwa ili aendelee na majukumu yake.

Tunaendelea kufuatilia jambo ili kama lina vina saba vya kuminya uhuru wa habari na haki ya kujieleza na pia usalama wake.

Edwin Soko
22.08.2023
Huyo ni font fedi tuu kuna wanaotafutwa
 
Polisi wa Tanzania bila kutengeneza taharuki huwa hawaoni kama wamefanya kazi!
Hadi waonyeshe umwamba flani hivi
 
Wabongo kwa kelele hatujambo, mtu anakoroma nyuma ya keyboard kwa ID feki akitegemea amzuie mwarabu asiwekeze.

Jikotekeni kama Kenya kama hamuwezi msipige kelele
Ni Kweli,

Bt usisAahau nguvu ya mitandao.

Nguvu yake kubwa sana
 
Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda

Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza.

Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache na kuandikishwa maelezo kwenye kituo cha polisi.

Taarifa za ndani zaidi ni kuwa alikuwa anatuhumiwa kwa matumizi ya mitandao ya kijamii.

Baada ya kuandika maelezo aliachiwa ili aendelee na majukumu yake.

Tunaendelea kufuatilia jambo ili kama lina vina saba vya kuminya uhuru wa habari na haki ya kujieleza na pia usalama wake.

Edwin Soko
22.08.2023
Pole sana Classmate wangu SAUT Mwanza Edwin Soko na darasa letu la BAMC 2006 - 2009 ukiwa unakaa Hodtels za Malimbe na Mimi Hostels za Nsumba kwa Kukamatwa kwa Mwenzetu ( Mwanahabari ) Aloyce Nyanda.

Nimezipokea Taarifa hizi kwa Masikitiko makubwa sana hasa nikiamini kuwa Aloyce ni Mtu wa Maadili, Mwerevu na Makini zaidi Kiutendaji.

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
 
Back
Top Bottom