Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?
UFAFANUZI WA MWAUWASA...
Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika...
Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA.
Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji
MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka.
MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
Katika miezi ya hivi karibuni, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imekuwa ikituma bili za maji kwa wateja bila kuonesha idadi ya units zilizotumika kwa mwezi husika.
Hali hii inatia wasiwasi, hasa kutokana na changamoto za upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo...
Ni mwezi sasa Wilaya ya Nyamagana, maeneo ya Igoma, Machinjioni, Muhandu-Kisiwani, hatuna maji. Binafsi nimechukua hatua ya kuwapigia simu, wanasema machine ya ku-pump maji ya Mabatini imeharibika.
Nikawauliza mna mpango gani? Wakasema hiyo ni changamoto. Yaani kiufupi na wao wanaonekana hawana...
Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba,
Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa Ambayo iko Mbali na Ziwa Huduma Hii Muhimu Si ndo hovyo Zaidi,
Mkishindwa Kutimiza Wajibu Muwe Na...
Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje...
Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026 hatupati maji, na kibaya zaidi hatuambiwi tatizo ni nini.
Wamekaa kimya tu, tumejaribu kuwapigia...
Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji.
Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo.
Aweso...
Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa manane.
Mbaya zaidi, bili za maji zinakuwa kubwa kwa sababu tunalazimika kuacha mabomba wazi kila...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekanusha madai yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kwamba changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Mwanza imesababishwa na kukosekana au kuyumba kwa huduma ya umeme kwenye mitambo ya...
Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve.
MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme
Hafu leo TANESCO nao wanakataa...
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane ..
Walianza hii michezo tokea mwaka Jana kuelekea uchaguzi mkuu...
Hapo TANESCO wamekanusha kuhusika
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa.
Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika.
Tangu jana siku ya Eid maji...
Anonymous
Thread
maji
mamlaka
mamlaka ya maji mwanza
mgao
mgao wa maji
mwanza
mwauwasa
Kukosekana kwa huduma ya maji katika maeneo ya Nyegezi na viunga vyake kumegeuka kuwa tatizo sugu na la kudumu, linalojirudia kila mara bila ufumbuzi wa msingi. Tangu sikukuu ya Krismasi hakuna maji, hali ambayo imewaweka wananchi katika adha kubwa ya maisha ya kila siku.
Licha ya kurudiarudia...
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka.
Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu mkubwa—maisha, afya na shughuli zetu zimeathirika.
Tunaomba maelezo ya wazi:
Tatizo ni lipi hasa na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.