ilemela

Ilemela District is one of the seven districts of the Mwanza Region of Tanzania with a postcode number 33200. It is bordered to the north and west by Lake Victoria, to the east by Magu District, and to the south by Nyamagana District. Part of the region's capital, the town of Mwanza, is within Ilemela District. The district commission's office is located in Buswelu area of Mwanza town.
As of 2012, the population of the Ilemela District was 343,001.Mwanza International Airport is located in Ilemela District.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

    Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA. Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
  2. I

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko yetu kwenda kwa Mkuu wa Mkoa Said Mtanda, tunaomba ufuatilie na ufanyie kazi

    RC Mtanda, Kuanzia Januari hadi Juni 2026, wananchi wa Wilaya ya Ilemela tumeendelea kuwasilisha malalamiko ya uwepo wa changamoto zinazojirudia katika utoaji wa huduma za umma na usimamizi wa majukumu ya Serikali pamoja na taasisi zake. Changamoto hizo zimejikita zaidi katika sekta za...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO UCHAFUZI WA KELELE ILEMELA NYAGUNGURO: Ni lini mamlaka za Mwanza zitazinduka?

    Tumechoka, tumenyanyasika, na tunapuuzwa kabisa! Kwa miezi kadhaa sasa, wakazi wa Ilemela Nyagunguro tumekuwa tukiteseka kwa kukosa usingizi usiku kucha kutokana na uchafuzi uliokithiri wa kelele. Muziki unaopigwa kwa sauti ya juu ya juu sana kutoka Kwa Tunza na Mamboleo umekuwa kero...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Ilemela - Mwanza kuomba michango ya Mwenge. Je, hakuna bajeti yake rasmi?

    Manispaa ya Ilemela Mwanza, Kata ya Ilemela kuna Mtendaji anakusanya michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za mwenge, wanapita katika ofisi na taasisi mbalimbali kuomba michango hiyo. Sasa swali langu ni kwamba Serikali Kuu haina bajeti ya kufanikisha mbio za mwenge? Hadi kufikia hatua ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  7. BINARY NO

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Wamachinga wanafunga barabara kwa kupanga vitu barabarani na nje ya maduka makubwa hivo kupelekea usumbufu kwa wapitaji

    Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji hilo wapo karne ya 18. Bado ma bus yanaingia Mjini kabisa eneo linaitwa NATA na kupakilia abiria pale...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Idara ya Ardhi Ilemela hakuna nidhamu, haijulikani mkubwa na mdogo, mikataba ya muda isitishwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya watumishi wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela huku akiahidi kuzungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi ili kuwahamisha watumishi waliokaa muda mrefu Mtanda ameyasema hayo wakati akisikiliza...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mwanza, huku Nyamhongolo Stand, Ilemela tuna tatizo la umeme mdogo (low voltage)

    Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi baadhi ya Maafisa wanazungusha Watu ilimradi tu 'ueleweke'

    Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number wanakuzungusha hata three-month ili mradi tu uwape hela ya kuwapoza. Kwa mwendo huu Rushwa itaisha Tanzania...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie

    Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika. Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo...
  12. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Ilemela Unastahili Kubaki Ofisini Kwa Uzembe huu?

    Jana nimeingia Mwanza na kupokelewa Airport ili niende niendako. Ajabu niliyokutana nayo ni baada ya kufika Pasiansi na kufuata barabara ya kuelekea Lumala hadi Kiseke. Barabara . Hii barabara ambayo Ina umuhimu wa Aina yake kama escape route kuwapo na msongamano katika Makongoro road (Airport...
  13. MKWANO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Manispaa ya Ilemela mnamhadaa waziri mkuu kwa faida ya nani ?

    1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Ilemela imeoza sana, Mkurugenzi awajibike

    Imeoza kwa sababu: 1. Mkurugenzi hana spirit ya Uongozi ndani, japo amekaa sana Tamisemi Kama bunch officer hivyo anashindwa kuwasimamia wasaidizi wake 2.Mkuu wa Idara ya Utumishi (MHRO) ana jeuri na kiburi sana kiasi kwamba haoni shida kumkolomea kila mtu/ mtumishi kwa sababu anajua...
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Boniphase Macheta achukua fomu ya ubunge jimbo la Ilemela

  16. MASHUKE ORIGINAL

    JamiiForums Tanzania Leonard Mahenda Qwihaya a.k.a Manguzo açhukua fomu kugombea ubunge jimbo la Ilemela kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.

    Mjumbe wa halmashauri kuu Mnec Leonard Mahenda Qwihaya achukua fomu kugombea jimbo la Ilemela. Mama Mabula ajiandae kuachia jimbo.
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi 2025 Mungu akipenda nitagombea ubunge jimbo la Ilemela Mwanza

    Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela. Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu wa Ilemela kwa moyo kunjufu. Sitatoa rushwa wala hongo. Najitambua mimi ni mchapa kazi. Jambo...
  18. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania TARURA Ilemela Ivunjwe, DED na Mhandisi wa Barabara nao Waondolewe kwa kushindwa kazi

    Katika halmashauri za manispaa za hovyo hapa nchini nadhani ile Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Nilikuwa huko kwa mapumziko ya sikukuu na nimejiuliza jee huko TARURA wapo kweli? Na jee Mkurugenzi na mhandisi wake wapo na wanalipwa mishahara? Hata ukienda juu zaidi jee RC Mtanda naye...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: CCM yashinda Majengo Mapya, Ilemela

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Buswelu...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea CHADEMA adaiwa kutekwa. Polisi kuingia mzigoni kuanza kufuatilia

    Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara. Akizungumza na...
Back
Top Bottom