Nyamagana: Kata ya Bulale walia na ubovu wa Barabara

Torra Siabba

Senior Member
Jul 24, 2016
105
102
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Bulale Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza baadhi ya wananchi wanaoishi katika maeneo hayo wameiomba serikali kuwatengenezea Barabara itokayo Buhongwa kuelekea kituo cha Afya Bulale ambayo kimsingi mpaka sasa inapitika kwa Shida hasa ikichangiwa na mvua zinazoendelea kunyesha jambo ambalo linaleta adha kwa wananchi wa eneo hilo.

IMG-20230403-WA0056.jpg
IMG-20230403-WA0058.jpg
IMG-20230403-WA0054.jpg
 
Back
Top Bottom