DOKEZO Hospitali ya Bugando hamuwaoni Manesi wanaoacha kuhudumia Wagonjwa na kuwa bize na Biashara kwa Wajawazito?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Torra Siabba

Senior Member
Jul 24, 2016
105
102
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu.

Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa ndio ambao wamekuwa kimbilio katika hospitali hiyo ambayo imekuwa ikiokoa maisha ya waliowengi kutokana na kuwa na vifaa vya matibabu vya kisasa tofauti na Hospitali nyingine pamoja na wataalamu wengi wenye uwezo wa juu.

Wakati Marehemu John Pombe Magufuli alipokua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, manesi na wauguzi katika hospitali hiyo walikuwa wakihudumia wagonjwa vizuri kiasi kwamba watu walivutika na huduma na halikuw ajambo geni kuona wanasifiwa kuwa watumishi wa mfano kwa namna wanavyotibu na kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.

Kwa sasa wameibuka baadhi ya manesi katika hospitali hiyo ambao wamekuwa wafanyabiashara wakubwa wa nguo za Watoto hususani kwa wale Wanawake ambao ni wajawazito.

Kufanya biashara kujiongezea kipato si jambo baya hata kama unakuwa na ajira nyingine, lakini inatakiwa isiwe kikwazo kwa wengine au isiwe kikwazo kwa wewe unayefanya biashara kushindwa kutimiza majukumu yako ya msingi hasa husuma kwa watu.

Baadhi ya maneso wa hospitali hiyo wanauza bidhaa zao kwa bei kubwa kwa wanawake wanaotarajiwa kujifungua na inapotokea mteja amekataa kununua, basi kanaibuka katabia ka kutomjali mgonjwa hata kama ana tatizo linalohitaji usaidizi, anaweza kufa bila kupewa huduma stahiki kwa kuwa tu wahusika wanajali biashara tu.

Hawa manesi wenye tabia hiyo wamekuwa tishio kwa usalama wa Mama na Mtoto wanaojifungua katika hospitali hiyo, inakera kuona nesi na taaluma yake amekazana kuuza nguo za watoto bila kujali ajira yake ni kusaidia afya za watu kuimarika.

Kwa waliofika levo ya kuwa wazazi au kama wao ni wazazi basi wataelewa kuwa kina mama wote wanaoingia Leba kujifungua wanakuwa nusu kufa au nusu kuishi, sasa badala ya kusaidiwa, manesi wako bize na kufanya biashara, kiukwel inakera sana.

Hivi karibuni kuna nesi mmoja mkongwe alikuwa mkali na kuwapiga mkwara wale manesi wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kujali biashara zaidi kuliko majukumu yao ya kazi, lakini inavyoonekana akiwa hayupo, wanaendekea kufanya hivyo kama kawaida.

Pia soma: DOKEZO - Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

=================

Updates...

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Thomas Rutachunzibwa alipoulizwa kuhusu madai hayo alisema hana hizo taarifa lakini atafuatilia, baadaye alipotafutwa akasema atafutwe Mkurugenzi wa Bugando ndiye anaweza kutoa ufafanuzi wa suala hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Bugando, Dkt Fabian Massaga alipoulizwa kuhusu hoja za Mdau akasema “Onana na PRO atakupa ufafanuzi wa kutosha.”

Upande wa Afisa Uhusiano wa Umma wa Hospitali ya Bugando, Evelyne Mahalu amesema “Tunalifanyia kazi kujua ukweli wake, pia BMC ni Taasisi inayosimamia taratibu na miongozo ya Nchi katika suala zima la kuzuia vifo vya mama na mtoto.”
 
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika mashariki kutokana na namna wallivyojioambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa
Mkuu, mambo ya wodi za wamama, kama kweli ni hivo kuna shida
 
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika mashariki kutokana na namna wallivyojioambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa
Mjamzito, huduma ya afya yake anahangaika kupata malipo, bado anawekewa zengwe la kumlazimisha anunue nguo za mtoto kutoka kwa mkunga, Tz inaharibika vibaya sana,
 
Hao Manesi badala ya kujikita hata kutoa elimu kwa akina Mama wanaokua wamejifungua namna ya kuwatunza watoto wao kitaalamu, namna ya kujikinga na Mimba ambazo hazijapangwa wao wako bize na Biashara.
 
Hii hospital toka kipindi Dk. Makubi alipoteuliwa kuwa Mganga mkuu wa serikali imerudi nyuma sana kwenye huduma zake. Mkurugenzi wa sasa naona bado anawachekea watumisha wa hapo
 
ndo mana yule baba walimchukia maana wapigaji ni kila kona.
Saizi hospitali za serikali bila kitu kidogo huhudumiwi na wa bima hamthaminiwi
 
Ni kweli nimewahi kuona kcmc lakini wanauza kwa kificho maana muuzaji unakuta sio wa ward hiyo
Tena hospital ya mkoa Ruvuma ndo kabisaa wazi wazi. Hadi vifaa vya kujifungulia wanauza hapo hapo.
 
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu.

Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa ndio ambao wamekuwa kimbilio katika hospitali hiyo ambayo imekuwa ikiokoa maisha ya waliowengi kutokana na kuwa na vifaa vya matibabu vya kisasa tofauti na Hospitali nyingine pamoja na wataalamu wengi wenye uwezo wa juu.

Wakati Marehemu John Pombe Magufuli alipokua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, manesi na wauguzi katika hospitali hiyo walikuwa wakihudumia wagonjwa vizuri kiasi kwamba watu walivutika na huduma na halikuw ajambo geni kuona wanasifiwa kuwa watumishi wa mfano kwa namna wanavyotibu na kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.

Kwa sasa wameibuka baadhi ya manesi katika hospitali hiyo ambao wamekuwa wafanyabiashara wakubwa wa nguo za Watoto hususani kwa wale Wanawake ambao ni wajawazito.

Kufanya biashara kujiongezea kipato si jambo baya hata kama unakuwa na ajira nyingine, lakini inatakiwa isiwe kikwazo kwa wengine au isiwe kikwazo kwa wewe unayefanya biashara kushindwa kutimiza majukumu yako ya msingi hasa husuma kwa watu.

Baadhi ya maneso wa hospitali hiyo wanauza bidhaa zao kwa bei kubwa kwa wanawake wanaotarajiwa kujifungua na inapotokea mteja amekataa kununua, basi kanaibuka katabia ka kutomjali mgonjwa hata kama ana tatizo linalohitaji usaidizi, anaweza kufa bila kupewa huduma stahiki kwa kuwa tu wahusika wanajali biashara tu.

Hawa manesi wenye tabia hiyo wamekuwa tishio kwa usalama wa Mama na Mtoto wanaojifungua katika hospitali hiyo, inakera kuona nesi na taaluma yake amekazana kuuza nguo za watoto bila kujali ajira yake ni kusaidia afya za watu kuimarika.

Kwa waliofika levo ya kuwa wazazi au kama wao ni wazazi basi wataelewa kuwa kina mama wote wanaoingia Leba kujifungua wanakuwa nusu kufa au nusu kuishi, sasa badala ya kusaidiwa, manesi wako bize na kufanya biashara, kiukwel inakera sana.

Hivi karibuni kuna nesi mmoja mkongwe alikuwa mkali na kuwapiga mkwara wale manesi wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kujali biashara zaidi kuliko majukumu yao ya kazi, lakini inavyoonekana akiwa hayupo, wanaendekea kufanya hivyo kama kawaida.

Pia soma: DOKEZO - Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

=================

Updates...

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Thomas Rutachunzibwa alipoulizwa kuhusu madai hayo alisema hana hizo taarifa lakini atafuatilia, baadaye alipotafutwa akasema atafutwe Mkurugenzi wa Bugando ndiye anaweza kutoa ufafanuzi wa suala hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Bugando, Dkt Fabian Massaga alipoulizwa kuhusu hoja za Mdau akasema “Onana na PRO atakupa ufafanuzi wa kutosha.”

Upande wa Afisa Uhusiano wa Umma wa Hospitali ya Bugando, Evelyne Mahalu amesema “Tunalifanyia kazi kujua ukweli wake, pia BMC ni Taasisi inayosimamia taratibu na miongozo ya Nchi katika suala zima la kuzuia vifo vya mama na mtoto.”
Bugando inajitahidi sana na imefanya jitihada kubwa kuondoa vifo vya mama na mtoto kwani inasimamia miongozo na utaratibu za nchi yetu kutokomeza kabisa vifo vya mama na mtoto
 
Bugando ni taasisi inayotoa huduma zake kwa huruma na upendo na ni taasisi ambayo haijawahi kuchelewesha au kuacha kufanya malipo kwa watumishi wake ni taasisi inayoongoza kutoa malipo kwa watumishi wake hivyo si kweli kwamba madaktari bingwa wamegoma kufanya upasuaji wa wajawazito kwasababu wamecheleweshewa malipo
 
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu.

Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa ndio ambao wamekuwa kimbilio katika hospitali hiyo ambayo imekuwa ikiokoa maisha ya waliowengi kutokana na kuwa na vifaa vya matibabu vya kisasa tofauti na Hospitali nyingine pamoja na wataalamu wengi wenye uwezo wa juu.

Wakati Marehemu John Pombe Magufuli alipokua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, manesi na wauguzi katika hospitali hiyo walikuwa wakihudumia wagonjwa vizuri kiasi kwamba watu walivutika na huduma na halikuw ajambo geni kuona wanasifiwa kuwa watumishi wa mfano kwa namna wanavyotibu na kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.

Kwa sasa wameibuka baadhi ya manesi katika hospitali hiyo ambao wamekuwa wafanyabiashara wakubwa wa nguo za Watoto hususani kwa wale Wanawake ambao ni wajawazito.

Kufanya biashara kujiongezea kipato si jambo baya hata kama unakuwa na ajira nyingine, lakini inatakiwa isiwe kikwazo kwa wengine au isiwe kikwazo kwa wewe unayefanya biashara kushindwa kutimiza majukumu yako ya msingi hasa husuma kwa watu.

Baadhi ya maneso wa hospitali hiyo wanauza bidhaa zao kwa bei kubwa kwa wanawake wanaotarajiwa kujifungua na inapotokea mteja amekataa kununua, basi kanaibuka katabia ka kutomjali mgonjwa hata kama ana tatizo linalohitaji usaidizi, anaweza kufa bila kupewa huduma stahiki kwa kuwa tu wahusika wanajali biashara tu.

Hawa manesi wenye tabia hiyo wamekuwa tishio kwa usalama wa Mama na Mtoto wanaojifungua katika hospitali hiyo, inakera kuona nesi na taaluma yake amekazana kuuza nguo za watoto bila kujali ajira yake ni kusaidia afya za watu kuimarika.

Kwa waliofika levo ya kuwa wazazi au kama wao ni wazazi basi wataelewa kuwa kina mama wote wanaoingia Leba kujifungua wanakuwa nusu kufa au nusu kuishi, sasa badala ya kusaidiwa, manesi wako bize na kufanya biashara, kiukwel inakera sana.

Hivi karibuni kuna nesi mmoja mkongwe alikuwa mkali na kuwapiga mkwara wale manesi wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kujali biashara zaidi kuliko majukumu yao ya kazi, lakini inavyoonekana akiwa hayupo, wanaendekea kufanya hivyo kama kawaida.

Pia soma: DOKEZO - Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

=================

Updates...

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Thomas Rutachunzibwa alipoulizwa kuhusu madai hayo alisema hana hizo taarifa lakini atafuatilia, baadaye alipotafutwa akasema atafutwe Mkurugenzi wa Bugando ndiye anaweza kutoa ufafanuzi wa suala hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Bugando, Dkt Fabian Massaga alipoulizwa kuhusu hoja za Mdau akasema “Onana na PRO atakupa ufafanuzi wa kutosha.”

Upande wa Afisa Uhusiano wa Umma wa Hospitali ya Bugando, Evelyne Mahalu amesema “Tunalifanyia kazi kujua ukweli wake, pia BMC ni Taasisi inayosimamia taratibu na miongozo ya Nchi katika suala zima la kuzuia vifo vya mama na mtoto.”
Wagonjwa wanapofika katika hospitali ya Bugando hasa wajawazito wanatibiwa bila vikwazo, mama haweziacha kuhudumiwa kwasababu ya kununua nguo, si kweli japokuwa wanafuatilia
 
Bugando ni Taasisi ambayo imefanya mambo makubwa sana na Mkurugenzi mkuu amejitahidi sana kuboresha huduma na miundombinu hivyo anaupiga mwingi sana..vifaa tiba vimeongezeka kwa kasi ya ajabu,imezidi kupanua huduma zake kwa kufungua mayawi mengine hasa Bugando Specialized Polyclinic ilo iweze wahudumia wananchi wote,Inawapa mazingira mazuri watumisho wake ya kufanya kazi na pia ni taasisi inayozidi kuboresha mahusiano kati ya taasisi za ndani na nje ya nchi
 
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu.

Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa ndio ambao wamekuwa kimbilio katika hospitali hiyo ambayo imekuwa ikiokoa maisha ya waliowengi kutokana na kuwa na vifaa vya matibabu vya kisasa tofauti na Hospitali nyingine pamoja na wataalamu wengi wenye uwezo wa juu.

Wakati Marehemu John Pombe Magufuli alipokua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, manesi na wauguzi katika hospitali hiyo walikuwa wakihudumia wagonjwa vizuri kiasi kwamba watu walivutika na huduma na halikuw ajambo geni kuona wanasifiwa kuwa watumishi wa mfano kwa namna wanavyotibu na kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.

Kwa sasa wameibuka baadhi ya manesi katika hospitali hiyo ambao wamekuwa wafanyabiashara wakubwa wa nguo za Watoto hususani kwa wale Wanawake ambao ni wajawazito.

Kufanya biashara kujiongezea kipato si jambo baya hata kama unakuwa na ajira nyingine, lakini inatakiwa isiwe kikwazo kwa wengine au isiwe kikwazo kwa wewe unayefanya biashara kushindwa kutimiza majukumu yako ya msingi hasa husuma kwa watu.

Baadhi ya maneso wa hospitali hiyo wanauza bidhaa zao kwa bei kubwa kwa wanawake wanaotarajiwa kujifungua na inapotokea mteja amekataa kununua, basi kanaibuka katabia ka kutomjali mgonjwa hata kama ana tatizo linalohitaji usaidizi, anaweza kufa bila kupewa huduma stahiki kwa kuwa tu wahusika wanajali biashara tu.

Hawa manesi wenye tabia hiyo wamekuwa tishio kwa usalama wa Mama na Mtoto wanaojifungua katika hospitali hiyo, inakera kuona nesi na taaluma yake amekazana kuuza nguo za watoto bila kujali ajira yake ni kusaidia afya za watu kuimarika.

Kwa waliofika levo ya kuwa wazazi au kama wao ni wazazi basi wataelewa kuwa kina mama wote wanaoingia Leba kujifungua wanakuwa nusu kufa au nusu kuishi, sasa badala ya kusaidiwa, manesi wako bize na kufanya biashara, kiukwel inakera sana.

Hivi karibuni kuna nesi mmoja mkongwe alikuwa mkali na kuwapiga mkwara wale manesi wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kujali biashara zaidi kuliko majukumu yao ya kazi, lakini inavyoonekana akiwa hayupo, wanaendekea kufanya hivyo kama kawaida.

Pia soma: DOKEZO - Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

=================

Updates...

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Thomas Rutachunzibwa alipoulizwa kuhusu madai hayo alisema hana hizo taarifa lakini atafuatilia, baadaye alipotafutwa akasema atafutwe Mkurugenzi wa Bugando ndiye anaweza kutoa ufafanuzi wa suala hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Bugando, Dkt Fabian Massaga alipoulizwa kuhusu hoja za Mdau akasema “Onana na PRO atakupa ufafanuzi wa kutosha.”

Upande wa Afisa Uhusiano wa Umma wa Hospitali ya Bugando, Evelyne Mahalu amesema “Tunalifanyia kazi kujua ukweli wake, pia BMC ni Taasisi inayosimamia taratibu na miongozo ya Nchi katika suala zima la kuzuia vifo vya mama na mtoto.”
Bugando ni Taasisi ambayo imefanya mambo makubwa sana na Mkurugenzi mkuu amejitahidi sana kuboresha huduma na miundombinu hivyo anaupiga mwingi sana..vifaa tiba vimeongezeka kwa kasi ya ajabu,imezidi kupanua huduma zake kwa kufungua mayawi mengine hasa Bugando Specialized Polyclinic ilo iweze wahudumia wananchi wote,Inawapa mazingira mazuri watumisho wake ya kufanya kazi na pia ni taasisi inayozidi kuboresha mahusiano kati ya taasisi za ndani na nje ya nchi lakini Wagonjwa wanapofika katika hospitali yetu hasa wajawazito wanatibiwa bila vikwazo, mama hawezi acha kuhudumiwa kwasababu ya kununua nguo hoi si kweli japokuwa tunaendelea kufatilia
 
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu.

Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa ndio ambao wamekuwa kimbilio katika hospitali hiyo ambayo imekuwa ikiokoa maisha ya waliowengi kutokana na kuwa na vifaa vya matibabu vya kisasa tofauti na Hospitali nyingine pamoja na wataalamu wengi wenye uwezo wa juu.

Wakati Marehemu John Pombe Magufuli alipokua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, manesi na wauguzi katika hospitali hiyo walikuwa wakihudumia wagonjwa vizuri kiasi kwamba watu walivutika na huduma na halikuw ajambo geni kuona wanasifiwa kuwa watumishi wa mfano kwa namna wanavyotibu na kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.

Kwa sasa wameibuka baadhi ya manesi katika hospitali hiyo ambao wamekuwa wafanyabiashara wakubwa wa nguo za Watoto hususani kwa wale Wanawake ambao ni wajawazito.

Kufanya biashara kujiongezea kipato si jambo baya hata kama unakuwa na ajira nyingine, lakini inatakiwa isiwe kikwazo kwa wengine au isiwe kikwazo kwa wewe unayefanya biashara kushindwa kutimiza majukumu yako ya msingi hasa husuma kwa watu.

Baadhi ya maneso wa hospitali hiyo wanauza bidhaa zao kwa bei kubwa kwa wanawake wanaotarajiwa kujifungua na inapotokea mteja amekataa kununua, basi kanaibuka katabia ka kutomjali mgonjwa hata kama ana tatizo linalohitaji usaidizi, anaweza kufa bila kupewa huduma stahiki kwa kuwa tu wahusika wanajali biashara tu.

Hawa manesi wenye tabia hiyo wamekuwa tishio kwa usalama wa Mama na Mtoto wanaojifungua katika hospitali hiyo, inakera kuona nesi na taaluma yake amekazana kuuza nguo za watoto bila kujali ajira yake ni kusaidia afya za watu kuimarika.

Kwa waliofika levo ya kuwa wazazi au kama wao ni wazazi basi wataelewa kuwa kina mama wote wanaoingia Leba kujifungua wanakuwa nusu kufa au nusu kuishi, sasa badala ya kusaidiwa, manesi wako bize na kufanya biashara, kiukwel inakera sana.

Hivi karibuni kuna nesi mmoja mkongwe alikuwa mkali na kuwapiga mkwara wale manesi wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kujali biashara zaidi kuliko majukumu yao ya kazi, lakini inavyoonekana akiwa hayupo, wanaendekea kufanya hivyo kama kawaida.

Pia soma: DOKEZO - Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

=================

Updates...

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Thomas Rutachunzibwa alipoulizwa kuhusu madai hayo alisema hana hizo taarifa lakini atafuatilia, baadaye alipotafutwa akasema atafutwe Mkurugenzi wa Bugando ndiye anaweza kutoa ufafanuzi wa suala hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Bugando, Dkt Fabian Massaga alipoulizwa kuhusu hoja za Mdau akasema “Onana na PRO atakupa ufafanuzi wa kutosha.”

Upande wa Afisa Uhusiano wa Umma wa Hospitali ya Bugando, Evelyne Mahalu amesema “Tunalifanyia kazi kujua ukweli wake, pia BMC ni Taasisi inayosimamia taratibu na miongozo ya Nchi katika suala zima la kuzuia vifo vya mama na mtoto.”
UONGO MTAKATIFU
 
Back
Top Bottom