Msimamizi uwanja Nyamagana atolewe mara moja

Torra Siabba

Senior Member
Jul 24, 2016
105
102
Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh Rais baada ya kuskia ujio wake Mwanza.

Kwenye Maandalizi Uwanja wa Nyamagana ulifanyiwa ukarabati wa maana Ikiwemo Geti jipya, Vyoo vilisafishwa lakini Siku mbili tu baada ya Mh Rais kuondoka Wasimamizi wa Uwnaja wa Nyamagana chini ya Afisa michezo wa Jiji la Mwanza Mohamed Bitegeko wameondoa Koki za maji Vyooni na sasa Vyoo vimerudi kama vilivyokua,

Ukiangalia Uwanja wa Nyamagana karibia kila siku mechi zinachezwa na watu wanalipia gharama za Uwanja, na Haya Magonjwa ya mlipuko kama KIPINDUPINDU Na watu wanatakiwa kunawa mikono watanawa wapi?

Nashauri Mabadiliko ya Haraka kwa Msimamizi huyu Maaba ameufanya Uwanja wa Nyamagana kama Kitegauchumi chake lakini hawaujali hata kidogo.
 
Unahakika katoa yeye,au uwanjani hapo wapo panya wengi😄.Ama kampeni ya kumsagia kunguni,ili uukwae umeneja🤔
 
BOra alivyoziondoa, amefanya jambo la busara sana maaana zingeibwa hata kabla ya hiyo mechi. Unadhan koki ya elfu 12 inaweza kuwa jamaa kaiba ili apate nini wakati tayari ana cheo cha UMeneja?
Kila mmoja anatambua mazingira ya kazi yake, Meneja anawajua vzuri zaidi kuliko mnavyomjua. Ukute mmmenda kuzifungua mmekuta jamaa keshaziondoa ndio mnaleta povu huku.
Njoo Lupaso Uwanja mkuu wa Taifa napo hakuna Koki vijana wa TMK washapita nazo pia mwanzishie uzi Meneja atolewe basi.
 
Unahakika katoa yeye,au uwanjani hapo wapo panya wengi😄.Ama kampeni ya kumsagia kunguni,ili uukwae umeneja🤔
Sina haja nao, ila shida ya Vyoo kunuka bila kusafishwa,sababu ya koki hazitoi maji inakera
 
Back
Top Bottom