Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika.
Tatizo ni nini???
Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine.
Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
Ongezeko la wafanya biashara wa vipodozi vya kung'arisha limekuwa la kutisha. Kila siku akaunti mpya Instagram, TikTok live kila saa. Bei sh 3,000 - sh 10,000. Ahadi ni "Dada, siku 3 tu unakuwa mweupe kama umepigwa filter". Watu wengi wananunua bila kuuliza kuhusu usalama wa Ngozi.
Biashara...
Halmashauri ya wilaya ya Chato inachangisha pesa kwa wafanya biashara kwa ajili ya mwenge. Wakusanyaji wanaongozwa na mtendaji wa kijiji
Soma Pia:
Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani MOROGORO wananyanyasa wananchi
Manyara: Mtendaji wa Kijiji...
Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.
Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.
Mahindi yanauzwa kwa bei ya 45-50k gunia. Ukikusanya mwenyewe kwa watu ni 30k kwa gunia maeneo ambayo utaweza...
Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD.
Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010.
Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia.
Sasa kwanini...
Anonymous
Thread
biashara
katika
kitaifa
kuchangisha
mkoa
pesa
ugeni
wafanyabiasharawafanyabiashara
Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️
Huduma zetu ⚖️
1. Ushauri WA kodi
✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March)
✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December)
✓ Ukaguzi WA kodi
✓ kufanya mapingamizi ya KODI
✓ kusajili VAT
2. Huduma nyinginezo
✓ leseni za biashara...
OCD wilaya ya Chunya ametoa wito kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kutowauzia bodaboda petroli zaidi ya lita moja kwani wamekuwa wakiyatumia kufanya uhalifu ikiwa pamoja na kuchoma majengo.
Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term.
Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi.
Chochote kitakachotokea huko mbeleni
Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama...
Disclaimer: Chapisho hili ni kwa madhumuni ya mjadala wa kujifunza na kuelewa tofauti za maendeleo ya kiuchumi kwa jamii zetu, bila kuleta chuki, kupotosha au kushambulia.
Ni jambo lililo wazi kuwa baadhi ya Waislamu wa Kitanzania wenye asili ya Kiarabu wamepiga hatua kubwa kiuchumi—wakiwa na...
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?
Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha.
Huduma Zetu ni Pamoja na:
Kufuatilia mambo yako ya TRA...
Soko la Stereo limekuwa na changamoto kwa wafanyabiashara.
Mnamo tarehe 11/04/2025 soko la stereo lilivunjwa kwa upande ili kupisha ujenzi. Wafanyabiashara tukahamishiwa barabarani kwa muda kupisha ujenzi.
Viongozi wa soko walituambia tupishe ujenzi, na ndani ya mwezi mmoja ujenzi utakuwa...
Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake.
Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi...
Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana.
Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo.
Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari.
Wengi wapo kupigana na wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.