suzuki

  1. Dr. Zaganza

    Natafuta Used Suzuki Maruti Omni

    Piga 0713 039 875
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

    Wakuu hamjambo?! Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani? Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
  3. Uzalendo Installer

    Nahitaji suzuki carry ya kukodi / kununua kwa malipo ya kila mwezi

    Habari Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi.. Tutaandikishiana na dhamana zipo. Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana. Naishi Kigamboni, Dar es salaam
  4. Offshore Seamen

    Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat

    Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat ni boat ndogo iliyotengenezwa na kampuni ya Suzuki kwa ajili ya kazi za utalii,michezo ya uvuvi na familia kufurahia mazingira ya bahari au weekend. Boti hii inatumika kwenye mabwawa ya samaki kwa ajili kukagulia,kuvua na kwenye maeneo yenye mafuriko. Boat hii...
  5. The Eric

    Nauza gari yangu Suzuki Escudo

    Salaam wakuu, ~ Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road. ~ Gari ni manual transmission, Gear. ~ Fuel consumption 1400cc. ~ Engine safi. ~ Tyre ziko poa fowl. ~ Seat za watu tano. ~ Gari ni imara sana. ~ Gari ipo moshi. ~ Bei ni shilingi 4,900,000 fixed. Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele...
  6. Nyamayanguruwe

    NINAKODISHA SUZUKI CARRY DC51T HAINA 4Wheel. INA BOMBA KWENYE BODY NYUMA - UNAWEZA KUZIONDOA AU KUZIACHA NA KUITUMIA GARI kubebea mifugo au vitu.

    Nina gari SUZUKI CARRY DC51T haina 4Wheel. NAIKODISHA . HESABU NI KILA SIKU ! Hii gari Ina Bomba ambazo unaweza kuzitoa au kuamua kuziacha. NINA DEREVA wangu. Mafuta juu yako Na vibali vya kuingia mjini vyote juu yako. Kuhusu Service ni juu ya nani Tuwasiliane ili Tuongee zaidi...
  7. R

    Car4Sale Suzuki Vitara (manual gear) inauzwa Arusha

    Habari, Maelezo ya gari yapo kwenye picha za gari na kadi yake. Bei ni 5.6 million. Gari ipo Arusha. Mawasiliano 0656388678
  8. YETU MOTORS CO LTD

    Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  9. B

    Msaada: Suzuki Grand Vitara (spea, mafuta?)

    Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
  10. SACO

    Nina mil 4 naombeni Suzuki escudo

    Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
  11. Mshua's

    Naomba ushauri kuhusu kununua gari aina ya SUZUKI LANDY

    Wakuu habari za jioni! Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha kushangaza, hizi gari tanzania hazipo nyingi. Gari ina 1990cc na inatumia mafuta ya diesel lita moja...
  12. Dafo

    Car4Sale Suzuki Carry for sale

    SUZUKI CARRY FOR SALE Year: 1996 Engine Size: 650cc Fuel: Petrol Mileage: 53,000km Transmission: Manual (5 gears) Usage: Private Service : Well maintained Price: 8.5 Million Contact: 0786647564 (Owner) Location: Kigamboni- DSM
  13. Mdadamwema.

    Naomba kueleweshwa kuhusu Outlender na Suzuki Escudo

    Salaam wakuu, Naomba mwenye uelewa na uzoefu wa magari haya, Mitsubishi outlender na Suzuki escudo, hasa kwenye utumiaji wake wa mafuta na upatikanaji wa spare parts bila kusahau uimara wake. Asanteni.
  14. Samatime Magari

    TAHADHARI! Kama unategemea kununua Kirikuu/ Suzuki carry Soma hapa

    NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎.. . Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua kichwa.. . Suzuki Carry imezaliwa toka Tanganyika inapata uhuru 1961 mpaka leo bado kinazalishwa and as...
  15. E

    Suzuki Escudo. Mwenye kuijua Spea, Mafuta & Utunzaji

    Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
  16. Nyuki Mdogo

    Car4Sale Suzuki carry (kirikuu) inauzwa. Iko kinyerezi Dar

    Haina tatizo lolote. Gari ya kuwasha na Kuondoka baada ya Malipo. Bei 4.million Net. Dalali unanipa elfu 15 tu ya Bando la Mwezi. wahisha biashara achana na comments 0713096076
  17. C

    Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

    Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?
  18. Ramon Abbas

    Car4Sale Hijet Carry (ndugu yake na suzuki carry) kwa milioni 3.5

    Inauzwa, haina shida yoyote Bei 3.5mil Ipo Dar. 0713096076
  19. Ramon Abbas

    Car4Sale Suzuki escudo for sale. 3.6Mil only in Dar es salaam

    Gari iko poa haina shida yoyote. Tairi mpya. vioo vipya. Gari ni ya kumwaga oil na hydrochloric tu. tuwasiliane chap twende bandarini tukachukue gari location: Bandarini Dar es salaam, 0713096076.
  20. Ramon Abbas

    Car4Sale Suzuki Cami Manual inakusubiri kwa hamu 3.6mil

    Get it now. This machine is manually operated. It has no any technical problems. Not repainted at all. located at kunduchi Dar es salaam. Priced at 3.6million Tshs come with your technician and get this drive. Hotline: 0625750755
Back
Top Bottom