MWIZI WA KUKU 😂
Usiku mmoja, Juma alisikia kelele nyuma ya nyumba:
“Kuku! Kuku! Kuku!” 🐔
Akaamka haraka, akachukua tochi na kwenda kuangalia.
Akamkuta mtu ameshika kuku wake!
Juma akapiga kelele:
— “WEWE MWIZI!”
Mtu akakimbia.
Juma akamfuata mpaka akamkamata.
— “Acha kuku wangu hapo!”...
Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu.
Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana.
Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine.
Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar.
Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amekutana na Mwanafunzi wa Udaktari kutokea Chuo Kikuu cha Kairuki, Catherine Conrad ikiwa ni miaka 18 imepita tangu alipomuona katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI).
Dkt. Kikwete alikutana na Catherine, Novemba 14, 2008 akiwa na umri wa miaka...
Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na mengine mengi, jibu lao ni moja tu Marekani ndiyo waliunda.kwamba CIA ndo wanafadhili mafunzo na kuyapa...
NITATUMIA HADITHI YA MUSA NA DAUDI KAMA REFERENCE.
Ushawahi kujiuliza kwanini Musa akaua akatoroka, lakini akawa shujaa?
Kwanini daudi akazini, akaua, lakini akawa "mtu wa moyo wa mungu"?
Au historia huandikwa na washindi?
Nikaja kugundua;
A. HADITHI ZINA AJENDA
Vitabu vya Dini sio CCTV...
"Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
Mwandishi: H. Rider Haggard, 1892.
Install app ya Maktaba Sauti kutoka playstore uweze kusoma na kusikiliza vitabu mbalimbali.
Utangulizi
Miaka mingi imepita—wakati wa baridi, kabla ya vita vya Wazulu, kulikuwa na mzungu aliyekuwa akisafiri kupitia Natal. Jina lake si muhimu kwa sababu...
Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu.
Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu.
Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua mna ubini wa Adamu. Mnamjua Mungu aliyeumba au mnakariri hadithi na mapokeo. Mungu yupo ila asilimia...
Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu.
Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za Uarabuni na kuacha misingi ya dini ya kiislamu inayotokana na Quran.
Lakini kundi linalounga mkono...
Ilikuwa miaka ya 2010s mimi na rafiki yangu tulikuwa tunahangaika kutafuta kazi. Tumezunguka viwanda vingi kila ukifika unaambiwa “hakuna kazi”, “acha namba”, “rudi wiki ijayo”.
Siku moja tukafika kiwanda fulani, kulikuwa na jamaa yupo getini ni msimamizi akatuangalia akasema tu, “kazi ipo...
Hapo zamani za kale palikuwa na Mfalme ambaye hakujali kitu chochote katika mamlaka yake isipokuwa mavazi yake, aonekane amependeza.
Mfalme huyu hakufanya kazi wala hakupatiliza majukumu yake, alikuwa akiagiza tu. Yeye kila mwisho wa wiki alipanda farasi wake akatoka mjini na walinzi wake...
Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku?
JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote,
chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI.
Mtoto, fikiria hivi:
Kijana aliyesoma Ualimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.