Msaada: Njia bora ya kurudisha weusi kwenye nywele zilizobadilika rangi

SPINE

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
1,062
1,136
Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku.

Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau.

Nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa ni sabuni, nimebadili lakini bado. Asanteni.
 
Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na uweusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau, nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa ni sabuni, nimebadili lakini bado....asanteni.
Kula chakula bora, upate vitamins na madini ya kutosha..
 
jitahidi kufanya steaming, spray maji ya mpera au mlonge pia paka mfuta ya parachichi? Jojoba oil au argan oil ukikosa hayo paka mnyonyoo
 
Nywele za wapi
Mkuu nywele huwa ni moja tu za kichwani,tofauti na hapo huwa zina majina yake

1.KIDEVUNI - Huitwa Ndevu
2.MASHAVUNI HADI MASIKIONI - Huitwa Sharafa
3.PUANI - Huitwa Julfa
4.JUU YA MDOMO - Sharubu
5.CHINI YA MDOMO - Huitwa kionja mchuzi
6.MAKWAPANI - Huitwa Mavuzi/Nywele za kwapa
7.KIFUANI - Huitwa Malaika
8.SEHEMU ZA SIRI - Huitwa Mavuzi
9.MKUNDUNI - Huitwa Mavuzi/Mshiranga
 
Mkuu nywele huwa ni moja tu za kichwani,tofauti na hapo huwa zina majina yake

1.KIDEVUNI - Huitwa Ndevu
2.MASHAVUNI HADI MASIKIONI - Huitwa Sharafa
3.PUANI - Huitwa Julfa
4.JUU YA MDOMO - Sharubu
5.CHINI YA MDOMO - Huitwa kionja mchuzi
6.MAKWAPANI - Huitwa Mavuzi/Nywele za kwapa
7.KIFUANI - Huitwa Malaika
8.SEHEMU ZA SIRI - Huitwa Mavuzi
9.MKUNDUNI - Huitwa Mavuzi/Mshiranga

, nikajua wewe ni mzee wa simulizi tu mkuu
 
Kuna wakati nilikuwa na nywele nyekundu, nikaanza kutumia mafuta ha nyonyo hadi leo sijutii,
Nywele zimerudi kwenye rangi yake.

Sema sasa kipilipili daaah.

Emb na mwenye kujua namna ya kupunguza kipilipili anisaidie, hata kama sio kukiondoa jumla.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom