Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea.
Katika kuonesha...
Wakuu, inakuwaje?
Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali.
Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha.
Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia
1“Machozi na Damu za Ukombozi”
2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general.
We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro.
We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania.
Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana.
3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu!
Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko.
Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
Wakuu
Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani
Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
09/Mei/2024
Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.
Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
Utangulizi
Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
"Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi."
"Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa...
Friends and Enemies,
Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 17 Novemba, 2023 jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya viongozi wa Dini walioshiriki mkutano huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.