mitazamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Jaji mkuu Prof. Ibrahim Juma: Majaji mzingatie mizani ya haki, msiyumbishwe na mitazamo ya watu baada ya hukumu kusomwa

    26 February 2024 PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c Video courtesy of millard ayo Na Mary Gwera, Mahakama-Arusha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji Wafawidhi wa...
  2. fungi06

    Yahudi na Palestina ndugu waliotengana muda mrefu nakusahauliana kulingana na mitazamo ifuatayo

    Mkuu ukiangalia vizuri utagundua awa jamaa ni ndugu tu Ona. Wao wanaita Mungu el (wayahudi) Wapalestina wanaita Mungu alha Awa vita yao haitoisha kabisa mpaka Mungu arudi labda. Maana ukicheki bible inasema watatangatanga, watachukuliwa utumwa, watapigana wao kwa wao. Mpaka wapate msamaha...
  3. Mto Songwe

    Chama cha siasa kisichotofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilichokufa

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa". Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya...
  4. B

    Tuwekane sawa: Dini hujenga mitazamo ya mtu, vyama vya siasa vichukue mikondo ya kimakundi

    Asalam, Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi. Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
  5. K

    Dr. Sigalla: Ushiriki wa Marie Stopes Tanzania katika Tuzo ya EJAT utasaidia kuondosha mitazamo potofu juu ya Afya ya Uzazi

    Dr. Geofrey Sigalla Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti. Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
  6. GENTAMYCINE

    Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

    1. Profesa Shivji 2. Tundu Lissu 3. Freeman Mbowe 4. Dk. Wilbroad Slaa 5. Harold Sungusia 6. Godbless Lema 7. Dk. Charles Kitima GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
  7. Allen Kilewella

    Uchambuzi wa akili na mitazamo ya wanaoiunga Mkono Ukraine au Russia,

    Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita. Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine...
  8. Wadiz

    Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  9. Hold on

    Kila mtu ana mitazamo yake binafsi juu ya mtu

    Kila mtu anakuwa na mitazamo yake binafsi juu ya mtu ila kitu mitazamo ya mtu kwa mtu kamwe haiwezi badili taswira halisi ya mtu Matusi matusi ni fedhea hasa unapotukana hadharani kwa watu wengi heshima inapungua ni vyema ukaenda faragha mkatukanana vizuri Uhuru kila mtu ana uhuru wa kuandika...
  10. JumaKilumbi

    Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Na Jumaa Kilumbi, 31.10.2022 Punyeto ni nini? ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri. Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana. Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
  11. John Haramba

    Maoni, mitazamo kuhusu sheria ya utoaji mimba kwa wanaopata ujauzito bila ridhaa yao

    Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu. Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
  12. Mademoiselle

    Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

    Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere. Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
  13. G

    SoC02 Mtazamo wa msamaha

    Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla. Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha mtazamo wako kuhusu msamaha. Katika chapisho la kiingereza liitwalo safari ya mahusiano binafsi...
  14. kmasanja20

    SoC02 Sensa, na Mitazamo ya Jamii Ajira fupi za Sensa

    Sensa na mitazamo ya jamii ajira fupi za Sensa. Imeandikwa na: K.Masanja DIBAJI Katika kipindi hiki ambacho nchi yetu pendwa inapoelekea katika utekelezaji wa sensa ya watu na makazi ya awamu ya sita na utaratibu wake ambao hufanyika kila baada ya miaka kumi, Makala hii inalenga si tu kutoa...
  15. M

    KWELI Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  16. Replica

    Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  17. Bitcoinbase

    Watanzania tubadilishe mitazamo ya kutaka kufanya sherehe kubwa za gharama

    Kumezuka tabia ya kuendekeza starehe na sherehe kubwa za harusi kwa kutegemea michango ya watu, tatizo linakuja unapotaka kila mtu akuchangie ilimradi unamfahamu au Mtumishi katika taasisi moja, inakera sana michango inakuwa nongwa, msg mara simu mara nini nini? Mara umeadiwa kwenye group bila...
  18. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
  19. Morg

    Naombeni Maoni yenu Mitazamo yenu Juu ya hili Swala la Kuoa

    Habarini za leo Jumamosi poleni na mihangaiko ya wiki nzima matumaini yangu kuwa wote mpo wazima kabisa wa buheri . Twende kwenye mada yetu husika na pendwa kama ilivyotajwa hapo juu rejea kichwa cha habari. Kumekuwa na nadharia mbalimbali kuhusu swala la Kuoa kumekuwa na Mitazamo chanya kwa...
  20. David Jesus

    Je, wajua walivyopishana mitazamo "Haki za bindamu"?

    JE, WAJUWA WALIVYOPISHANA MITAZAMO "HAKI ZA BINDAMU" ? Awali ya yote nitangulize shukrani kwa Mungu ambaye anatulinda na kutuhifadhi sisi binadamu tulio watu wake maana yeye ndiye mwamuzi wa maisha yetu Usiku na mchana. Lifuatalo ni shukrani zangu kwako msomaji na mfuatiliaji Mwenye UTU na...
Back
Top Bottom