nanenane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
  2. Liverpool VPN

    Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  3. Stephano Mgendanyi

    Kilele cha Sikukuu ya nane nane, ushiriki wa Wilaya ya Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo. Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
  4. benzemah

    Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  5. masopakyindi

    Mbeya: Foleni kubwa maeneo yote; kuingia Uyole na Nanenane leo Agosti 7, 2023

    Leo mchana huu, kuna foleni ya kutisha hapa Mbeya. Magari yanayotoka Iringa na maeneo ya Nanenane foleni ni bumber to bumber. Kuna sehemu unasimama muda mrefu sana.
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe: Karibuni Mtembelee Banda Letu la Momba NaneNane Mbeya 2023

    MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba Nanenane Mbeya na kuitumia fursa hiyo kuwaalika watu wote kuona fursa mbalimbali za Kilimo na Mifugo...
  7. Liverpool VPN

    Karibu nanenane Mbeya tuonane

    INTRODUCTION Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023. Ila haina mbaya, Kazi iendelee. BODY Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda...
  8. Michael Uledi

    Rais Samia anakuja "kufunika" tena Nanenane Mbeya

    George Michael Uledi. August 4,2023. Kwa lugha rahisi unaweza kusema haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Nchi ya Tanzania kuandaa Jukwaa na Maonyesho Makubwa ya Sikukuu ya Wakulima Nchini yaani NaneNane kwa kushirikisha Nchi jirani tena safari hii yakifanyika katika Jiji la Mbeya,Tanzania...
  9. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  10. Pfizer

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  11. benzemah

    Rais Samia Mgeni Rasmi Nanenane Mbeya, Wadau Kutoka Nje ya Nchi Kushiriki Kwa Mara ya Kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema viongozi wengine kitaifa watakaotembelea maonesho hayo yanayoanza...
  12. JanguKamaJangu

    Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
  13. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya Nanenane - Tungi Morogoro Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi juu ya mpango wa Serikali kukarabati barabara mkoani Morogoro...
  14. Uhakika Bro

    Nanenane na wajasiriamali: Fursa kwa wagunduzi/wajasiriamali na wamiliki-wazalishaji

    Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako iliyounganishwa na uzi huu. Kwa mtu binafsi unaweza kudownload na kuchapisha maelekezo ya kujiunga kisha...
  15. Roving Journalist

    Nanenane - Mbeya: Rais Samia asema watatoa ruzuku za mbolea lakini sio kwa miaka yote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022 Aliyoyasema waziri wa kilimo Hussein Bashe Waziri Bashe asema Serikali itaanza kutoa zawadi kwa...
  16. M

    Je, maadhimisho ya siku ya wakulima, maarufu kama nanenane yana tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania?

    "Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022. Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
  17. H

    Wadau wa kilimo hivi mwaka huu kuna maonyesho ya kilimo nanenane?

    Habari humu. Kichwa cha habari chahusika.Sioni shamrashamra za hii sikukuu pia hata matangazo sisikii.Je inawezekana na mwaka huu maonesho yakapotezewa na ukizingatia kuna kazi ya sensa na makazi. Ni maonesho muhimu sana kwa wakulima na wafugaji na huwa yanatoa fursa kubwa za kibiashara kwa...
  18. Lycaon pictus

    Kutoza watu pesa kuingia viwanja vya Sabasaba na Nanenane haijakaa sawa

    Kwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya Mei mosi? Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
  19. The Sunk Cost Fallacy

    Serikali yarudisha Maonesho ya Wakulima "Nanenane", kitaifa mwaka 2021/2022 kufanyika Mbeya

    Serikali ya awamu ya 6 kupitia Wizara ya Kilimo imerudisha upya Maonyesho ya Wakulima Nanenane baada ya kuzuiwa kufanyika kwa miaka kadhaa ya uongozi wa awamu ya 5. Kwa mujibu wa Waziri Bashe, Serikali inakusudia kuyafanya maonesho hayo ya nane name kuwa maonesho rasmi ya Kimataifa ya Wakulima...
Back
Top Bottom