Kilele cha Sikukuu ya nane nane, ushiriki wa Wilaya ya Ludewa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo.

Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya NaneNane 2023 Mkoani Mbeya; ambapo imeonesha bidhaa za Kilimo kwa mifano ya mazao mbalimbali yanayozalishwa Ludewa
✅ Shamba Darasa na Bidhaa zake
✅ Bustani ya kisasa ya mbogamboga.
✅ Bwawa la Samaki la Kisasa lenye aina mbalimbali ya Samaki wanaofugwa kupitia programu za Ufugaji wa Samaki
✅ Kuku ambao wanafugwa Wilayani Ludewa na mfugaji wa Mfano kutokea Wilayani Ludewa.
✅ Bidhaa mbalimbali za Kilimo; Ufugaji, Ujasiriamali kutoka Ludewa.
✅ Muongozo wa Fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana Ludewa.

Maonyesho kwa mwaka 2023 yameambatana na kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni msingi imara wa mfumo endelevu wa chakula”.

Maonesho ya Wakulima Nanenane ya Kimataifa yanahitimishwa Agosti 8, 2023 na mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.

Tunashukuru kwa Ushiriki, Tunawakaribisha sana Ludewa.

#LudewaYetu

Nimemsikia Bashe akimwambia raisi kwamba DPW wakiboresha bandari tutapitisha parachichi zetu bandari ya Dar. Ngoja tuone hukumu ya kesi tarehe 10.
 
KILELE CHA SIKUKUU YA NANENANE MBEYA 2023

USHIRIKI WA WILAYA YA LUDEWA

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo.

Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya NaneNane 2023 Mkoani Mbeya; ambapo imeonesha bidhaa za Kilimo kwa mifano ya mazao mbalimbali yanayozalishwa Ludewa
✅ Shamba Darasa na Bidhaa zake
✅ Bustani ya kisasa ya mbogamboga.
✅ Bwawa la Samaki la Kisasa lenye aina mbalimbali ya Samaki wanaofugwa kupitia programu za Ufugaji wa Samaki
✅ Kuku ambao wanafugwa Wilayani Ludewa na mfugaji wa Mfano kutokea Wilayani Ludewa.
✅ Bidhaa mbalimbali za Kilimo; Ufugaji, Ujasiriamali kutoka Ludewa.
✅ Muongozo wa Fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana Ludewa.

Maonyesho kwa mwaka 2023 yameambatana na kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni msingi imara wa mfumo endelevu wa chakula”.

Maonesho ya Wakulima Nanenane ya Kimataifa yanahitimishwa Agosti 8, 2023 na mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.

Tunashukuru kwa Ushiriki, Tunawakaribisha sana Ludewa.

#LudewaYetu
Sawa
 
Back
Top Bottom