Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Ni sehemu maalum kwa wadau wa mpira wa miguu kutoa maoni, ushauri na uchambuzi.

Msimu mpya umeanza kwa timu zetu 4 kuiwakilisha Tanzania kwa ushiriki wa michuano ya kimataifa barani Afrika.Tanzania imepata nafasi ya kupeleka timu 4 ukiwa ni msimu wake 4, Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya 5 kwa ubora barani Afrika.

Timu 2 ambazo ni SIMBA SC na YOUNG AFRICAN SC ndizo timu zinazo shiriki Ligi ya mabingwa msimu wa 2023/2024

Timu 2 ambazo ni AZAM FC na SINGIDA FOUNTANE GATE ndizo zinazishiriki kombe la shirikisho msimu wa 2023/2024.

Result:

SIMBA itaanza hatua ya pili kwa sababu ipo kwenye timu 10 bora barani Afrika.

Hatua ya awali Yanga wanafainali wa kombe la shirikkiisho Afrika msimu wa 2022/2023 wameanza kwa ushindi ugenini wakishinda gori 0-2 dhidi ya ASAS DJIBUIT.
 
Result
CAF CHAMPIONS LEAGUE
Preminary round
 A
SAS 0-2  Young  Africans(¹leg)
Young African 5-1 ASAS (²lleg)

Second round
Power dynamo 2-2 Simba
(¹leg)
Simba 1-1 power dynamo (²leg)


Al merlk 0-2 Yanga(¹leg)
Yanga 1-0 Al Merlk (²leg)

GROUP STAGES
Group B
  1. WYDAD
  2. SIMBA
  3. ASEC MIMOS
  4. JWANENG GALAXY

Group D
  1. AL AHLY
  2. CR BELOUIZAD
  3. YANGA
  4. MEDEAMA FC



CAF CONFEDERATION CUP
Preminary round
 JKU
1-4  Singida  Fountain  Gate(¹leg)
Singida 0-3 jku (¹leg)

 Bahir dar kanena 2-1 Azam(¹leg)
Azam 2-1 Bahir dar kanena(²Leg)

Penalty Azam 3-4 Bahir dar kanena

Second round
Future fc 1-1 Singida fountain gate(¹leg)

Future 4-1singida fountain gate(²leg)
 
Kocha wa Azam Yusuph Dabo bado anaendelea kuwajaribu magollikipa hana anaemuamini kila anaenza anamakosa mengi.
Amekaa na timu mrefu lakini bado timu haina golikipa namba 1.
 
Natabiri Fei kurudi Yanga au kwenda Simba sc,
Maisha yanaenda kasi kweli et sasa hivi anaimbwa mudathir kama kiungo bora mzawa kwa sasa.
Huyu ataenda simba. Maana hata alipokuwa anatoka JKU, kituo cha kwanza kilikuwa ni simba! Ni bahati mbaya tu kwa wakati huo simba ilimpotezea. Yanga amenyea kambi, hivyo hawezi kurudi.
 
Hapo umesema Simba itaanzia wapi? Maandishikwangu yamefutika Mkuu naomba urudie hapo
Hatua pili kabla kuingia makundi kama atafanikiwa kuwa mshindi dhidi ya mpinzani wake
Huyu ataenda simba. Maana hata alipokuwa anatoka JKU, kituo cha kwanza kilikuwa ni simba! Ni bahati mbaya tu kwa wakati huo simba ilimpotezea. Yanga amenyea kambi, hivyo hawezi kurudi.
Tusubiri na tuone,nashawishika kidogo na maneno yako.
 
Back
Top Bottom