Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Enemies,

Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na kuhakikisha yeyote atakaeenda kinyume na wao anauwawa, na wale wote wenye nguvu lazima waende utumwani.

Katika vugu vugu la kutetea uhuru na uzalendo wa nchi na ardhi yetu (MISSIONARIES) kama agents of colonialism hawakuwa tayari katika hilo,na walifanya kila waliloliweza kuwatumia puppets wa kiafrika kurudisha nyuma harakati hizo,(NYERERE ALISHASEMA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUPIGANIA UHURU KANISA HALIKUMPA USHIRIKIANO,NA AKIMUACHA JOHN RUPIA HAONI MKRISTO MWINGINE AMBAE ALIKUWA BEGA KWA BEGA KATIKA HARAKATI HIZO ZAIDI YA WALE WAZEE WA KIISLAM)

Kwahiyo uzalendo ni asili yetu WAISLAM,tusiache uzalendo na kuithamini ardhi ambayo tumeshushwa katika ulimwengu huu.
Ubaguzi wowote ule wa dini, rangi, kabila, kipato ni dhambi kubwa kwetu waislam,suala linaloitwa udini kwetu ni mwiko na ni lazima tuishi katika misingi yetu.

Wizi,kula rushwa,ufisadi,kamari,ubadhirifu wa mali za umma,kufanya mikataba mibovu na kadhalika ni dhambi na usaliti kwa Taifa hili,wanaojiita wasomi ndani ya Taifa hili wanafahimika,na kwa kiwango kikubwa wamekuwa wanatumia huo usomi wao badala ya kulisaidia taifa wao wamekuwa vinara katika kuliibia taifa,wanafahamika wanaojiita wasomi ndani ya taifa hili na waliojaa kwenye kuendesha taifa hili wametokea wapi na ni watu wa imani ipi.

Je,kama MUISLAM muadilifu unaachaje kushiriki katika siasa??maana yake ukiacha ni kubariki kuwaachia hao ambao siyo waadilifu na wasio wazalendo waendelee kulitia hasara taifa hili,je hiyo ni sawa??bila shaka siyo sawa.

Kama MUISLAM muadilifu,unaweza vipi shika nafasi katika utumishi wa umma kisha ukawa mwizi,fisadi,mla rushwa na msaliti??bila shaka unafaham kuwa hiyo ni dhambi kwa sababu sifa kubwa ya muislam ni uadilifu na kula jasho lako la halali,ukiacha njia iliyonyooka na kufuata hulka na tabia za hao wengine ambao hawana asili na uzalendo wa taifa hili utakuwa unafanya jambo la haki?

Mwaka huu ni wa uchaguz wa serikali za mitaa,kisha mwakani ni uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani,tusisahau nafasi yetu katika taifa hili,tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili kwenye wizi na ufisadi na kupambana na walafi ambao wamezidi kuweka mizizi kwenye unyonyaji.

Hongera kwa RAIS wa jamhuri ya muungano DR SAMIA SULUHU HASSAN,Hakika unatupa heshima kubwa kama mama wa KIISLAM katika kuliongoza taifa hili kwa kutawaliwa na hofu ya mungu.

Tunahitaji watu wenye taswira kama yako kwa wingi zaidi katika utumishi wa umma wa taifa hili,unaongoza kwa mfano na unaishi unayoyasema,Allah azidi kukusimamia wewe na wasaidizi wako wote hata ambao siyo waislam ambao wanaweka uzalendo mbele,na kulionea huruma taifa hili.
 
Sheria zipo kwa ajili ya kuwashughulikia hao wezi na mafisadi, bahati mbaya sheria zinawekwa kapuni wezi wanazidi kutamalaki huku wakilindwa na huyo Samia uliyempongeza!.

Unaonekana hata hujui kitu gani ulichoandika, sijui unataka nafasi zote serikalini zishikwe na waislamu ili huo wizi na ufisadi usiwepo, kama ndivyo, kuna haja gani kufanya hivyo ikiwa Samia anawalinda hao wezi? au yeye sio mwislamu mwenzako?!

- Huwa anasema stupid, kuleni kwa urefu wa kamba zenu lakini msivimbiwe, huyu ndie anapambana na wezi kwa akili yako mpaka umpongeze!

Thread nyepesi isiyo na mantiki yoyote, iliyoanzishwa na mfia dini, asiye na kitu kichwani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Friends and Enemies,

Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na kuhakikisha yeyote atakaeenda kinyume na wao anauwawa,na wale wote wenye nguvu lazima waende utumwani.

Katika vugu vugu la kutetea uhuru na uzalendo wa nchi na ardhi yetu (MISSIONARIES) kama agents of colonialism hawakuwa tayari katika hilo,na walifanya kila waliloliweza kuwatumia puppets wa kiafrika kurudisha nyuma harakati hizo,(NYERERE ALISHASEMA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUPIGANIA UHURU KANISA HALIKUMPA USHIRIKIANO,NA AKIMUACHA JOHN RUPIA HAONI MKRISTO MWINGINE AMBAE ALIKUWA BEGA KWA BEGA KATIKA HARAKATI HIZO ZAIDI YA WALE WAZEE WA KIISLAM)

Kwahiyo uzalendo ni asili yetu,tusiache uzalendo na kuithamini ardhi ambayo tumeshushwa katika ulimwengu huu.
Ubaguzi wowote ule wa dini,rangi,kabila,kipato ni dhambi kubwa kwetu waislam,suala linaloitwa udini kwetu ni mwiko na ni lazima tuishi katika misingi yetu.

Wizi,kula rushwa,ufisadi,kamari,ubadhirifu wa mali za umma,kufanya mikataba mibovu na kadhalika ni dhambi na usaliti kwa Taifa hili,wanaojiita wasomi ndani ya Taifa hili wanafahimika,na kwa kiwango kikubwa wamekuwa wanatumia huo usomi wao badala ya kulisaidia taifa wao wamekuwa vinara katika kuliibia taifa,wanafahamika wanaojiita wasomi ndani ya taifa hili na waliojaa kwenye kuendesha taifa hili wametokea wapi na ni watu wa imani ipi.

Je,kama muislam muadilifu unaachaje kushiriki katika siasa??maana yake ukiacha ni kubariki kuwaachia hao ambao siyo waadilifu na wasio wazalendo waendelee kulitia hasara taifa hili,je hiyo ni sawa??bila shaka siyo sawa.

Kama muislam muadilifu,unaweza vipi shika nafasi katika utumishi wa umma kisha ukawa mwizi,fisadi,mla rushwa na msaliti??bila shaka unafaham kuwa hiyo ni dhambi kwa sababu sifa kubwa ya muislam ni uadilifu na kula jasho lako la halali,ukiacha njia iliyonyooka na kufuata hulka na tabia za hao wengine ambao hawana asili na uzalendo wa taifa hili utakuwa unafanya jambo la haki?

Mwaka huu ni wa uchaguz wa serikali za mitaa,kisha mwakani ni uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani,tusisahau nafasi yetu katika taifa hili,tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili kwenye wizi na ufisadi na kupambana na walafi ambao wamezidi kuweka mizizi kwenye unyonyaji.

Hongera kwa RAIS wa jamhuri ya muungano DR SAMIA SULUHU HASSAN,Hakika unatupa heshima kubwa kama mama wa kiislam katika kuliongoza taifa hili kwa kutawaliwa na hofu ya mungu.

Tunahitaji watu wenye taswira kama yako kwa wingi zaidi katika utumishi wa umma wa taifa hili,unaongoza kwa mfano na unaishi unayoyasema,Allah azidi kukusimamia wewe na wasaidizi wako wote hata ambao siyo waislam ambao wanaweka uzalendo mbele,na kulionea huruma taifa hili.
Mbumbumbu katika ubora wako,ila BIASHARA YA UTUMWA KUTOKA KWA WAARABU NI HALALI.
 
Bandari na Ngorongoro naona TEC wameviuza

TEC hawawezi kuwa watetezi wa ardhi hii,kipindi cha ukoloni TEC ILIKUWA PAMOJA NA WAMISHENI WENZAO KULINYONYA TAIFA HILI,HUO UZALENDO WA KUSEMEA RASILIMALIZ ZA NCHI HII WANAUTOA WAPI??
 
Friends and Enemies,

Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na kuhakikisha yeyote atakaeenda kinyume na wao anauwawa,na wale wote wenye nguvu lazima waende utumwani.

Katika vugu vugu la kutetea uhuru na uzalendo wa nchi na ardhi yetu (MISSIONARIES) kama agents of colonialism hawakuwa tayari katika hilo,na walifanya kila waliloliweza kuwatumia puppets wa kiafrika kurudisha nyuma harakati hizo,(NYERERE ALISHASEMA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUPIGANIA UHURU KANISA HALIKUMPA USHIRIKIANO,NA AKIMUACHA JOHN RUPIA HAONI MKRISTO MWINGINE AMBAE ALIKUWA BEGA KWA BEGA KATIKA HARAKATI HIZO ZAIDI YA WALE WAZEE WA KIISLAM)

Kwahiyo uzalendo ni asili yetu,tusiache uzalendo na kuithamini ardhi ambayo tumeshushwa katika ulimwengu huu.
Ubaguzi wowote ule wa dini,rangi,kabila,kipato ni dhambi kubwa kwetu waislam,suala linaloitwa udini kwetu ni mwiko na ni lazima tuishi katika misingi yetu.

Wizi,kula rushwa,ufisadi,kamari,ubadhirifu wa mali za umma,kufanya mikataba mibovu na kadhalika ni dhambi na usaliti kwa Taifa hili,wanaojiita wasomi ndani ya Taifa hili wanafahimika,na kwa kiwango kikubwa wamekuwa wanatumia huo usomi wao badala ya kulisaidia taifa wao wamekuwa vinara katika kuliibia taifa,wanafahamika wanaojiita wasomi ndani ya taifa hili na waliojaa kwenye kuendesha taifa hili wametokea wapi na ni watu wa imani ipi.

Je,kama muislam muadilifu unaachaje kushiriki katika siasa??maana yake ukiacha ni kubariki kuwaachia hao ambao siyo waadilifu na wasio wazalendo waendelee kulitia hasara taifa hili,je hiyo ni sawa??bila shaka siyo sawa.

Kama muislam muadilifu,unaweza vipi shika nafasi katika utumishi wa umma kisha ukawa mwizi,fisadi,mla rushwa na msaliti??bila shaka unafaham kuwa hiyo ni dhambi kwa sababu sifa kubwa ya muislam ni uadilifu na kula jasho lako la halali,ukiacha njia iliyonyooka na kufuata hulka na tabia za hao wengine ambao hawana asili na uzalendo wa taifa hili utakuwa unafanya jambo la haki?

Mwaka huu ni wa uchaguz wa serikali za mitaa,kisha mwakani ni uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani,tusisahau nafasi yetu katika taifa hili,tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili kwenye wizi na ufisadi na kupambana na walafi ambao wamezidi kuweka mizizi kwenye unyonyaji.

Hongera kwa RAIS wa jamhuri ya muungano DR SAMIA SULUHU HASSAN,Hakika unatupa heshima kubwa kama mama wa kiislam katika kuliongoza taifa hili kwa kutawaliwa na hofu ya mungu.

Tunahitaji watu wenye taswira kama yako kwa wingi zaidi katika utumishi wa umma wa taifa hili,unaongoza kwa mfano na unaishi unayoyasema,Allah azidi kukusimamia wewe na wasaidizi wako wote hata ambao siyo waislam ambao wanaweka uzalendo mbele,na kulionea huruma taifa hili.
Tutaanza kipindi kijacho kama hatakuwa mwenzetu.
 
Back
Top Bottom