Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣
Hebu pokeeni ukweli huu.
chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu.
wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
Ni obvious, upinzani Tanzania kuhusu urais, watausikia tu kwenye bomba tu, kwasababu, kwanza hawana mgombea mwenye kaliba ya urais, lakini pia, hawana agenda zenye kugusa maisha halisi ya wa wananchi wote wa Tanzania, bali wao, wamejikita zaidi katika kuwatukuza viongozi wao, kwa kampeni za...
Ukishakua rais baada ya Uchaguzi raha ya urais uzunguke mikoani uonane na ali ya wapiga kura wako waliokuchagua kwa kishindo kwa 98% kuona ali zao kuzungumza nao kutoa shukrani. Muheshimiwa Rais ni mda wa kuzunguka na wewe mikoani kuona ali za...
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ
Tutaelewana tu
Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura...
Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania
Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!.
Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti?
Hakika uongo una lifespan ndogo sana,
Huyu...
Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya.
Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi kuwa amezipata kwa sababu mwitikio wa wapiga kura ulikuwa mdogo sana. Akasema 98% ni ya kura...
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
Zile media uchwara za kina Millard au yoyote mwenye hizo picha naomba atupie hapa na sisi tuone hiyo misururu ya wapiga kura waliotupatia ushindi wa 98%.
Haki huinua taifa
Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura
Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi
Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.
Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi?
Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa.
Lakini...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika historia ya Taifa letu na tangia kuanza kwa mfumo wa Vyama vingi hapa Nchini. Rais wetu Mpendwa na Mama yetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakuwa Mgombea wa kwanza Mwenye Mvuto na shawishi Mkubwa sana kwa wapiga kura.
Ni...
Sema CCM wana siasa za kishamba sana.
Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi.
Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi?
Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
Wakuu!
Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini.
Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
GT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
Wakuu!
Tuko kwenye joto la uchaguzi, lakini kuna wimbi la baadhi ya watu mashuhuri kujipendekeza — au kwa lugha nyepesi, uchawa. Tabia hii binafsi siipendi, kwa sababu ina madhara makubwa kwenye mfumo wa uongozi na mustakabali wa taifa letu.
Kilicho hatari zaidi ni kwamba hawa “machawa”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.