wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Mwanetu sana Intelligent businessman kimya sana kaka. Kama upo offline it’s alright ila kama umeisoma hi post login ujibu PMs. I know June was bad for us ila naamini tumeuvuka brother.
  3. R

    JamiiForums Tanzania ICC: Ninaanza kuwa na wasiwasi, hivi kuna lolote ICC kinachoendelea kuhusu mauaji ya halaiki. WHO IS PUSHING THE AGENDA?

    Naona kumekuwa kimya mno! Kuna lolote kweli linaloendelea? Who is pushing the agenda? Mbina ka eneo hako tumekasahau? WHO IS PUSHING THE AGENDA?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna kijana huko Maria SPACES anaitwa MTU WA WATU. Ni siku nyingi haonekani, kulikoni? Nina wasiwasi na maisha yake

    Alikuwa hakosoi Maria spaces na mchangiaji/ speaker mzuri and very critical! Anakaa Kimara Baruti na anatoka Musoma. Ni siku nyingi sasa haonekani.. Nina wasiwasi kama bado mzima maana alikuwa very critical of regime. Mwenye taarifa zake atujuze please.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kuna watu wapo kimakosa katika zama hizi walipaswa wawe stone age

    Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo...
  6. majam19

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

    Habarini wakubwa, Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza. Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single. Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
  8. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Baada ya Buyobe na wasiwasi pia Bagonza

    Baada ya Fortunatus Buyobe kuanikwa nina hofu na wasiwasi pia na askofu Bagonza. In your life don't trust anyone even your own shadow you'll survive. Always seek divine guidance. adriz de mbusii
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi watanda, Tume ya Jaji Chande ikikamilisha ripoti yake

    Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani. Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka uchaguzi ujao kwa jinsi hali ilivyo uchaguzi ujao utakuwa ni vita kubwa kubwa sana haijawai kutokea tangu...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  14. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi nchi imekuwa paralysed

    Sababu kubwa ni njaa, unafiki, uwongo, chuki, fitna, husuda, ulafi, wizi na zinaa. Hizi ndizo sababu zinazosababisha damu ya Habil kulia ardhini. Mungu yupo.
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

    Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7 Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu? Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
  16. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na usalama wa watu waliotekwa kama Polepole

    Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja. Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi: Wakulima msiwe na wasiwasi wa soko

    Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kutekeleza mikakati ya kuinua sekta ya kilimo kwa kujenga skimu mpya za umwagiliaji, kuongeza upatikanaji wa zana za kisasa, na kujenga maghala ya kuhifadhia mazao ili kudhibiti...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aise nimejiwa na wasiwasi polisi wetu hawana mafunzo ya kujikinga na adui yaani kajitu kamoja kanapigwa na Askari 20?

    Nimejiwa na wasi wasi sana yawezekana polisi wetu wanalindwa na Magwanda wanayovaa lakini hawana mafunzo ya kutosheleza ya kujikinga na adui Haiwezekani kajitu kamoja kabisa kampige ngumu Moja askari alafu kavamiwe na kundi kubwa la Maaskari walio shikilia malungu seriously ? Yaani Askari...
  19. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Je, wanachofanya Askofu Gwajima na Polepole ni harakati halisi au Propaganda za Kisiasa? Walikua wapi kabla ya mwaka wa Uchaguzi?

    Japo wanachosema na kupigania ni cha kweli, Nina wasiwasi kuwa ni propaganda za watawala kufifisha agenda ya wapinzani. Walikuwa wapi nyakati zote hadi wajitokeze wakati huu wa kuelekea uchaguzi? (Tuwaulize hawa Harakaharaka na Askofu anayefufua). Nafikiri nje ya box. Propaganda ni somo kubwa...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania US debt is now $37trn – should we be worried? (Deni la Marekani sasa ni $37trn - Je tunapaswa kuwa na wasiwasi)?

    Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack; BBC business editor As Donald Trump cheered the passage of his self-styled, and officially named, Big...
Back
Top Bottom