Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

tawakkul

Member
Oct 12, 2022
88
67
Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga"

Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya Maaskofu kwenye harakati za kuiondoa CCM madarakani.

Uliongea kile ulichokiamini na kujiita mtu wa misimamo isiyoyumba (inawezekana ulikuwa sahihi). Baada ya "Kulambishwa asali" na kupewa ubalozi, ulikaa kimya bila kutupambania kwa lolote kwenye harakati za "Jasho na damu" la kuiondoa CCM kwenye utawala.

Kuna watu wanasema tunaokosoa mkataba wa bandari "Tumenunuliwa". Wananchi wengi hawaamini maneno haya, lakini wakikusikia na wewe ni miongoni mwa wanaotetea, wanaanza kuamini. Why?

Your historical background inawafanya waamini (ulituharibia sana wewe na mzee Lipumba). Watu wanasema huenda sasa umeanza kula mihogo, na wakikupatia chai ya maziwa, blueband na mkate utatukimbia tena.

"Watu tulipigwa mabomu, tukapigwa risasi, tukapotezwa na wasiojulikana, tulishuhudia mizoga ya watu kwenye viroba baharini lakini huyu mzee (dr mihogo) alikaa kimya uko ubalozini," alisikika mwanahakati mmoja.

Mzee Slaa, hivi kipindi kile tunateswa na kupotezwa, kuzuiwa kufanya mikutano ya adhara, wewe ulikuwa wapi? Why now? Unaongea na mishipa ya shingo inakuvimba kabisa, au mihogo imeanza kuwa michungu?

Anyways, kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!
 
Unaweza ukatoa orodha ya watu wanaotakiwa kutoa maoni yao kuhusu suala hili?? Mimi binafsi Kinacho nitatiza kuhusu jambo hili ni pale watetezi wanaposhindwa kujibu hoja na kuanza kumshambulia mtoa hoja, jibuni hoja kwa hoja sio kuanza kutuambia huyu sijui alikuwa hivi huyu alikuwa vile hayo tunayajua
 
Nimesoma heading tu; Unawaharibia nyie kina nani
DP World au ?

Kwamba yeye kama Mtanzania hana haki ya kushiriki au kutoa maoni yake kuhusu hili suala
 
Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga"

Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya Maaskofu kwenye harakati za kuiondoa CCM madarakani.
Umesahau Magufuli aliposema katiba mpya sio kipaumbele na Dr Slaa akasema sahihi kabisa....
Sasa eti katiba mpya anadai Kwa fujo kabisa...
Na kuna wajinga wanamuona mzalendo..
 
Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga"

Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya Maaskofu kwenye harakati za kuiondoa CCM madarakani.

Uliongea kile ulichokiamini na kujiita mtu wa misimamo isiyoyumba (inawezekana ulikuwa sahihi). Baada ya "Kulambishwa asali" na kupewa ubalozi, ulikaa kimya bila kutupambania kwa lolote kwenye harakati za "Jasho na damu" la kuiondoa CCM kwenye utawala.

Kuna watu wanasema tunaokosoa mkataba wa bandari "Tumenunuliwa". Wananchi wengi hawaamini maneno haya, lakini wakikusikia na wewe ni miongoni mwa wanaotetea, wanaanza kuamini. Why?

Your historical background inawafanya waamini (ulituharibia sana wewe na mzee Lipumba). Watu wanasema huenda sasa umeanza kula mihogo, na wakikupatia chai ya maziwa, blueband na mkate utatukimbia tena.

"Watu tulipigwa mabomu, tukapigwa risasi, tukapotezwa na wasiojulikana, tulishuhudia mizoga ya watu kwenye viroba baharini lakini huyu mzee (dr mihogo) alikaa kimya uko ubalozini," alisikika mwanahakati mmoja.

Mzee Slaa, hivi kipindi kile tunateswa na kupotezwa, kuzuiwa kufanya mikutano ya adhara, wewe ulikuwa wapi? Why now? Unaongea na mishipa ya shingo inakuvimba kabisa, au mihogo imeanza kuwa michungu?

Anyways, kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!
Tanzania ni ya Watanzania wote, akiwemo Dr. Slaa. Nyie wenye vyama msijimilikishe.
 
Hizi no mbinu za adui kutugawa, tutawanyike kutoka relini. Ktk siasa hakuna rafiki/adui wa kudumu. Kwa pamoja tunataka
1 KATIBA MPYA.
2 ULINZI WA RASILIMALI ZETU.
 
Umesahau Magufuli aliposema katiba mpya sio kipaumbele na Dr Slaa akasema sahihi kabisa....
Sasa eti katiba mpya anadai Kwa fujo kabisa...
Na kuna wajinga wanamuona mzalendo..
Awamu ile kila mmoja alikuwa mnafiki
 
tawakkul

Member
Joined Oct 11, 2022
Last seen 8 minutes ago

tawakkul, tarehe ya ujio wako JF forum na utiaji sign mkataba wa kuiuza Tanganyika, vyote vinakuanika na kukuacha uchi na upuuzi wako uliouleta humu. Hivi nyie watu mkoje? Hata akili za kukopi na kupaste hamna? mmechelewa sana kwani Watanganyika wamezinduka na hawatawaruhuzu tena wapuuzi wachache kuchezea rasilimali zao.
 
Umesahau Magufuli aliposema katiba mpya sio kipaumbele na Dr Slaa akasema sahihi kabisa....
Sasa eti katiba mpya anadai Kwa fujo kabisa...
Na kuna wajinga wanamuona mzalendo..
Sasa Wewe ulidhani halitakuwa kipaumbele milele?

Zanzibar wako kimya sasa hawadai tena Mamlaka Kamili baada ya kuona Watanganyika wameamka kutoka kwenye Usingizi wa " Nyamlunda" dadeki!
 
Unaweza ukatoa orodha ya watu wanaotakiwa kutoa maoni yao kuhusu suala hili?? Mimi binafsi Kinacho nitatiza kuhusu jambo hili ni pale watetezi wanaposhindwa kujibu hoja na kuanza kumshambulia mtoa hoja, jibuni hoja kwa hoja sio kuanza kutuambia huyu sijui alikuwa hivi huyu alikuwa vile hayo tunayajua

Hoja inakosa justification ya kujibiwa kulingana na nature ya mtoa hoja mwenyewe.

Padre Mzinzi Wilbroad Slaa, kipindi kile watu wanahangaika na mwendazake na kudai katiba mpya,yeye alipewa ubalozi kanada na akasema katiba Siyo muhimu, mwendazake aachwe Kwanza ajenge nchi.

Watu wanapiga yowe Kule bungeni ya kwamba atake asitake tutamuongezea muda,Kwa kuwa yeye alikuwa balozi hakunyanyua bakuli lake,bila shaka alikuwa anasema kimoyo moyo kuwa aongoze milele ikibidi.

Leo ubalozi umeisha Njaa imepiga hodi mlangoni kwake anakumbuka sasa kuwa katiba mpya ni muhimu.

Hapo ndipo anapokosa uhalali wa kuikosoa serikali Kwa namna yoyote Ile na kuonekana hao alioongozana nao woote ni Njaa kali tuh.
 
Back
Top Bottom