https://youtu.be/mg8bksltG8s?si=c88mbYJRZvPOgYrN
Akihojiwa na Redio SAUT Digital Online leo, Balozi Mstaafu Dr Wilbroad Peter Slaa amemtetea John Heche (Makamu Mwenyekiti Tanganyika - CHADEMA) kwa nguvu sana kwa kusema haya kuhusu propaganda za kumchafua, fedha ikitumika kama silaha;
1...
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?
Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto
Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy 🚮
Yuko wapi huyu mzee?
Kabla ya kujiunga na ccm alikuwa member mzuri wa jf.
Hivi sasa yuko wapi?
Nakumbuka sana anavyopambana wakati Rais akiwa sio miongoni mwa yeye
Wakuu,
Mwanasiasa mkongwe, kada na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, amekosoa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisema hazijikiti kwenye masuala ya msingi yanayowagusa moja kwa moja wananchi.
Akizungumza Septemba 2, 2025 kwa njia ya...
Resprocal obligation !
Kwa kiswahili rahisi sana hili ni jukumu "nenda rudi"
Dr Wilbrod Slaa aliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki na baadaye akaomba kuondoka kwenye upadre kwa mujibu wa taratibu za Kanisa na baadaye akaruhusiwa "kuacha" upadre japo ukishakuwa padre kamwe haiwezekani kuwa...
https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2
IN BRIEF:
1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
drslaa
humphrey
humphrey polepole
madai
mfumo
mifumo
mifumo ya uchaguzi
moja
moja kwa moja
nchi
polepole
slaa
taifa
tishio
uchaguzi
uhaini
usalama
usalama wa nchi
Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta.
Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama.
Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia.
Jazba mihemko...
Chadema imewahi kugawanyika mara moja tu pale walipomtosa Dr Slaa na kumleta mzee Lowasa
Unajua kwenye hizi siasa zetu za Tanganyika Mbowe hajawahi kufanya tukio lolote la kutikisa nchi kama vile Dr Slaa na Kagoda, Masoud wa Temeke na Panton, Lyatonga na Chavda, Zitto na Buzagwi, Kafulila na...
CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.
Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya...
Hellow Tanganyika!
Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.
Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?
1. Je ni Lowwassa?
2...
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu.
Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi
Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada...
Wanajukwaa heshima iwe kwenu.
Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki?
La Hasha,
Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Hellow Tanganyika!
Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano.
KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza, kutii na kutekeleza matakwa ya umma wa wananchi Watanzania tutakao mabadiliko ya Kweli kimfumo Ili...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Hapa katikati ya mvutano wa nani anaefaa kuwa mwenyekiti wa Chadema. Baada ya upepo kuonekana kwenda upande wa Lissu, wazee wa kazi wakakaa kikao kimya kimya kama walivyofanya wakati wa Lowasa (lkn safari hii kwa namna nyingine) na kuja na njia ambayo itasaidia...
Shallom.
Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.
Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.
Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.