UWT yatoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi katika ushiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
"Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi."

"Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa yenu mnayoishi, kesho Mwenyekiti wetu wa Taifa Mary Chatanda atakuwa mkoani Songwe na Jumamosi tutaungana na Rais Dkt. Sama kwenye kongamano kule mkoani Dodoma na ni wasihi mkisikia makongamano ya wanawake mjitokeze kwa wingi kwakuwa ni sehemu ya fursa na kuendelea kupeana elimu."

Ndugu. Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu wa UWT - Taifa

📍Lumumba - DSM
🗓️ 7 Machi, 2024.
IMG-20240307-WA1366.jpg
 
Back
Top Bottom