Taaluma muhimu za kujifunza katika mwaka huu wa 2024

Madwari Madwari

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
1,110
1,936
Kwa ujio wa Artificial Intelligence umuhimu wa kujifunza na kuwa na uelewa wa programmig na coding ni muhimu sana. Kuna ajira nyingi sana ambazo ni remote zipo mitandaoni zinazohitaji mtu mwenye uelewa wa kuandika code na kujua programming.

Nimeshuhudia vijana wa Kenya na wengineo huku Ulaya wakifanya kazi nyumbani huku wakilipwa hela nzuri tu. Kwa sasa kila gari linalotengenezwa linakuwa na software maalumu kwa ajili ya kuhakikisha unapata nguvu nyingi kwa mafuta kidogo inavyowezekana(efficiency).

Hata katika ujio wa taaluma ya Data Analyst au Data Scientist inahitaji ujuzi katika programming language na coding. Mimi sio mtaaalumu wa IT taaluma yangu ni (Industrial Engineering and Management) lakini katika internship yangu nimeona masuala ya IT yakiwa katika mitambo mingi sana. Wahindi wanatuzidi sisi waaafrika katika kutumia fursa zilizopo mitandaoni kujifunza hivi vitu.

Na kama kuna mtu anaeweza kuongeza kitu au mada yeyote ambayo inaweza kuwasaidia vijana wanaoamua kujifunza hivi vitu wanaweza kuchangia latika thread hii. Wanaopata hela mitandaoni sio Forex wala traders ni IT skilled proffesionals tuamke vijana. Tembeleeni site za kutafuta remote works na muangalie ni kazi ngapi hazihitaji IT skills. Hii ni baadhi ya mitandao unayoweza ukajifunza hivi vitu.

Humu utajifunza skills zifuatazo:

Programming, Web Development, Networking
**

***

1. www.codecademy.com
2. www.lynda.com
3. www.udemy.com
4. www.udacity.com
5. www.coursera.org
6. www.w3schools.com
7. www.thenewboston.org
8. www.programmr.com
9. www.codeavengers.com
10. www.codeschool.com
11. www.learnstreet.com
12. www.teamtreehouse.com
13. www.sqlzoo.net
14. www.codehs.com
15. www.teamtreehouse.com
16. www.html5rocks.com
17. www.codepen.io
18. www.sitepoint.com
19. www.tutorialspoint.com
20. www.javatpoint.com
21. www.cplusplus.com
22. www.learncpp.com
23. www.tutorialspoint.com
24. www.cprogramming.com
25. www.stackoverflow.com
26. www.learncodethehardway.org
27. www.bloc.io
28. www.howtocode.io
29. www.edx.org
30. www.instructables.com
31. www.developer.apple.com
32. www.developer.android.com
33. www.developers.google.com
34. www.developer.mozilla.org
35. www.msdn.microsoft.com
36. www.decom pera.com
37. www.www.developphp.com
38. www.quackit.com
39. www.htmlite.com
40. www.siteduzero.com
41. www.dreamincode.net
42. www.phpbuddy.com
43. www.php.net
44. www.microsoftvirtualacademy.com
45. www.professormesser.com

Enjoy💚
 
Back
Top Bottom