Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lissu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.

Inashangaza huyu Tundu Lissu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lissu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
 
Kama anaongea upuuzi na matusi, wanaoendelea kumsikiliza, utawaweka kwenye kundi gani la watu?
 
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo. Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Tundu Lissu keshakuwa mwanasiasa kwaio wanajua kumtolea uwakili sio dili maana inawezekana anapractise "rarely". Wanadhani Mwabukusi anakula kupitia uwakili kwaio wanataka kukata umeme.. Sasa wanaompenda Mwabukusi wampe kazi ya kisiasa basi watakuwa wamemfunga AG goli saba za mshindo
 
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo. Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Sasa kuridhia mikataba ya utapeli ndio maadili?
 
Back
Top Bottom