uhasibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc. Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ada inayotakiwa kulipwa na HESLB kwa Wanafunzi wa TIA haijalipwa na tunaelekea kwenye mitihani ya mwisho

    Habari za kazi. Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) kuhusu ada kuelekea mitihani ya mwisho ya muhula wa pili wa masomo, inayotarajiwa kuanza tarehe 10/07/2026 kwa baadhi ya wanafunzi na tarehe 12/07/2026 kwa wengine. Hadi leo, ikiwa zimebaki...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ya wanafunzi chuo Cha uhasibu Arusha (IAA) main campus - Arusha umefanya ubadhirifu wa fedha za wanafunzi

    Naomba kuwasilisha Jambo hili. Serikali iliyopo madarakani ambayo inakwenda kumaliza muda wake, imefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za wanafunzi. Naomba takukuru waweze kufika na kulifanyia kazi vijana warejeshe pesa. Mfano pesa za beji ya kuweka ID ilikua inauzwa 5000/= bila receipt zile...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha tunawekewa matokeo tofauti na yaliyopo kwenye TRANSCRIPT

    Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake. Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
  7. onemediaonline

    JamiiForums Tanzania Maafisa 90 wa magereza wahitimu shahada ya uzamili Chuo cha Uhasibu Arusha

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Lusetula (Mbunge), amewatunuku shahada ya uzamili wahitimu 2,250 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiwemo maafisa na askari 90 wa Jeshi la Magereza, waliosajiliwa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika fani mbalimbali zikiwemo amani na usalama pamoja na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
  9. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Wakuu habari Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  13. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  14. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  15. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  16. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Epuka adhabu kwa kufanya makadilio kodi kabla ya kuvuka 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  17. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  18. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Consultant Silwano huduma ambazo zinazoweza kutolewa kwa ukamilifu na ufanisi pasina kuja au uwepo wa mteja ofsini kwetu

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  19. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta ushauri wa biashara? Moms consulting iko tayari kukuhudumia

    Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
Back
Top Bottom