kujipendekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi kuhusu uongozi wa Tanzania yanafanywa na watu wenye IQ ndogo sana, au kwa ajili tu ya kujipendekeza

    Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

    Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi. Hivi sasa, historia ina...
  4. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimekutana na magari mengi hapa Dodoma yakiwa na usajili huu, ndio mahaba au kujipendekeza?

    Kwasasa Dodoma kuna magari yana usajili huu. Usajili huu wa kufanana hauwezi kuleta shida huko barabarani? Je ni mahaba au kujipendekeza kwa Rais?
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

    Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unayajua Makundi mangapi ya 'Kujipendekeza' kwa Rais Samia?

    Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo..... 1.Mama Ongea na Mwanao 2. Samia Squad 3. Mama tutakutetea hadi Umauti 4. Mama Samia Tunakupenda Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania AIBU: Mchekeshaji Said Said aaibika baada ya kuzuiwa na walinzi wa Rais, kisa zawadi ya Cheni

    Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards. Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi kwa wahindi bila kujipendekeza na kuwa mnafiki inawezekana kweli?

    Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  10. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa siasa za upambe na kujipendekeza utaendelea kuitafuna CCM

    Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kazidisha kujipendekeza sasa kakutana na wababe huko Republican

    Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena. Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo. Katika teuzi za watu yeye kimbelembele. Sasa wababe wa chama chao Republicans wamempiga stop hadi sasa hivi kasusia kwenda the centre of the...
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi yanayoendelea nchini ni matokeo ya Uchawa na kujipendekeza kulikopitiliza. Uchawa kwa sasa ni adui mkubwa kwa Taifa

    Uchawa umeondoa utu, kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele. Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini, CCMuni, CHADEMAni au mitaani. Haijarishi anaumiza, kutesa na kukosesha haki wananchi wenzake kwa kiasi gani kikubwa amfurahishe bosi wake. Chawa...
  13. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

    Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini. Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR. Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania SAUT pekee ndiyo Chuo Kikuu kisichojipendekeza kwa wanasiasa kwa kutoa PhD zisizo na maana

    Kama kuna Mzazi ambaye hujampeleka Mwanao kusoma SAUT Mwanza jua umepoteza bahati Kubwa na Ijutie sana.
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kunaonekana huko juu kuna fitna na kujipendekeza sana

    Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..? yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi hiki kwa chama ambacho wala hakuna mweye mpango nacho kama hao watu wanaotekwa au kuchukuliwa na watu...
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza Zanzibar?

    Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji. Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunajua Unalazimisha huku Kujipendekeza Kwake ili mwakani uwe Mwandamizi katika Kuzunguka nae nchi nzima wakati wa Kampeni

    DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan. Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar inafurahia Watu wa Bara wanavyonyanyaswa?

    Salaam Wakuu, Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana. Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii. Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar. Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi. Wafanyabiashara...
  19. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WAke za watu acheni kujipendekeza kwa wachungaji na manabii na mitume wana wake zao pia

    WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥 Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko. Nabii Musa pamoja na miujiza yote aliyojaaliwa,alikuwa na mtumishi mmoja tu tena kijana wakiume,yaani Joshua.Nabii Eliya naye...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

    Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Chanzo: DW...
Back
Top Bottom