kibabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

    Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani. Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi. Kwa usiku wa jana binafsi...
  3. bronze

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa at the lowest point of your life ukahisi kabisa hapo ndio mwisho lakini ukaja kufanya au ikafanyika comeback ya kibabe sana? Tueleze

    Uzi tayari, karibuni kwa michango na wengine tujifunze kuhusu maisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu atoa kauli ya kibabe: Mnaweza kukimbia, mnaweza kujificha, lakini mwishowe tutawapata tu

  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Paketi za sigara nchini Mexico zinakupa warning kibabe sana!

    Sio kama kwetu paketi za Sigara zinaurembo urembo. Wenzetu wanaweka picha za watu wako ICU, panya wamekufa, yaan fujo tu.
  6. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  7. The Dictator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

    "Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya Starlink, wakati wa migogoro. Kalinka: Mfumo huu ni wa kisasa zaidi na uliundwa mahsusi kukidhi mahitaji...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

    Mbona kama wamemdaka maduro makusudi ni kama kuna mtu wanamtafutia sababu ajichanganye wampasue
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Maraisi wazalendo wote Duniani wanashindanishwa kwenye tuzo ngumu na za kibabe hapo utamuona Mrusi, marekani, India, Tanzania, Afghanistan

    Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama Huwezi ukagusi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matamko ya kishenzi shenzi na kibabe ya watawala haramu yalizikwa rasmi 29 October 2025

    Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Serikali haramu inavyojihalalisha kibabe

    Mmeteka watu Mnatesa na kulawiti Watanzania wenzenu Mnaua Watanzania kupitia Wambura na magaidi wenzake Mmechezea sheria inayounda Usalama wa Taifa na kuifanya taasisi inayodhibiti wananchi badala ya jukumu lake la kisheria na kikatiba Mmeunda Tume haramu ya uchaguzi Mmeharibu mfumohaki wote...
  12. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Askari Magereza wamsukuma Lissu kibabe

    Katika hali inayoendelea kuitia dola aibu, Leo mahakamani Askari Magereza amemsukuma ndugu Lissu na kumsababishia sintofahamu kubwa. Lissu ambaye ni kiongozi wa Umma, ambaye anastahili heshima katika jamii, inashangaza dola inamfanyia kitendo hiki. Dila isiyoheshimu viongozi wa umma hii ni dola...
  15. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Bunge linafungwa, ni Bunge la CCM, ni Bunge la kibabe

    Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!! Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD. Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wachukua maamuzi magumu kuvunja chungu waliopora kibabe watoa Siku 7 wajisalimishe

    https://www.youtube.com/watch?v=F3Hn_d8HLas
  18. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: Ni Sale Agreement Lakini ni 4 Bdrm Ya Kibabe, Mil 78 Tu - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

    Hizi chuma zimeanza kujaa jaa mjini, hafu sio poa zinafaa kwa kila matumizi aisee. Muonekano wake umekaa vema. Sio nje sio ndani. Ford Ranger, Ford Ranger Raptor, Ford Ranger Wildtrak ni dream truck.
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwetu Yanga fainali Muungano Cup. Tunaenda beba Kombe la Muungano kibabe

    Haikuwa rahisi. Hatimaye tumeingia Fainali Kombe la Muungano. Match ilikuwa ngumu na kuamuliwa kwa penalty. Tunaenda kuwekeza nguvu kwenye kulibeba kombe wallah...
Back
Top Bottom